The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Mkojo ni dawa ila wengi hawafahamu.Mahojiano yanayohusu na upimwaji was mkojo
Ujinga au co!!Hawafahamu kwa sababu ni ujinga
co kila king'aacho ni dhahabuUjinga au co!!
Thamani yake ni kubwa kuliko Tanzanite?Dhahabu ni madini yenye thamani
Tanzanite ni mawe yenye ujazo wa ming'aro !!Thamani yake ni kubwa kuliko Tanzanite?
Ming'aro ipo kwenye madini yote zamilumi zamiluniTanzanite ni mawe yenye ujazo wa ming'aro !!
Zamiluni ameibuka mshindi wa uzi huu bingwaMing'aro ipo kwenye madini yote zamilumi zamiluni
Bingwa mtetezi wa ligi kuu Tanzania Bara ni Simba Sports ClubZamiluni ameibuka mshindi wa uzi huu bingwa
Simba sport club wamefungwa mara mbili msimu huu.Bingwa mtetezi wa ligi kuu Tanzania Bara ni Simba Sports Club
Huu ni mwaka wa Simba kufungwa mfululizo..Simba sport club wamefungwa mara mbili msimu huu.
Mfululizo wa matukio yaliyojitokeza kwenye uchaguziHuu ni mwaka wa Simba kufungwa mfululizo..
Uchaguzi ni moja ya haki za utaifa...Mfululizo wa matukio yaliyojitokeza kwenye uchaguzi
Utaifa kwanza mambo mengine baadaeUchaguzi ni moja ya haki za utaifa...
Baadae mtajuta kuongozwa na chama kimojaUtaifa kwanza mambo mengine baadae
Kimoja chenye rangi ya kijaniBaadae mtajuta kuongozwa na chama kimoja
Kijani ni rangi ya peponi..Kimoja chenye rangi ya kijani
Peponi wataisikia wakifika kuzimuKijani ni rangi ya peponi..
Kuzimu kumemgeukia kibuyuPeponi wataisikia wakifika kuzimu
Kibuyu cha bibi kimevunjika.Kuzimu kumemgeukia kibuyu