Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Taifa linakuhesabu ni mmoja wa wajenzi
Wajenzi wengi ni wasomiTaifa linakuhesabu ni mmoja wa wajenzi
Wasomi wengi ni wastaarabu ila kuna baadhi kama yule Mr Mzungu aliyetimuka baada ya kushindwa uchaguzi, huwa simwelewi-elewi vile usomi wake anautumiaje sasa.Wajenzi wengi ni wasomi
Nitacheza na nitashinda maana wapinzani wangu ni dhaifu.Sasa nitacheza
Timamu? Wewe huwezi kuwa timamu mpaka uekelewe mawe ya kichwa [emoji35]Wewe jamaa uko negative kama zile negative za kamera na picha; inaonekana umelazimishwa kujiunga JF ili ukomenti, nakupa ushauri wa bure uwe na akili timamu.
Kichwa chako kina huzuni mpaka unatoa machozi halafu unatia huruma.Timamu? Wewe huwezi kuwa timamu mpaka uekelewe mawe ya kichwa [emoji35]
Huruma ninamuonea Huyu member kafilisika..Kichwa chako kina huzuni mpaka unatoa machozi halafu unatia huruma.
Kafilisika kama rangi ya ugoroHuruma ninamuonea Huyu member kafilisika..
Ugoro huo wamekoroga mwingi, unawachefua ila uzuri wamelikoroga wenyewe.Kafilisika kama rangi ya ugoro
Wenyewe hupenda kutumia ugoro ili wapate usingiziUgoro huo wamekoroga mwingi, unawachefua ila uzuri wamelikoroga wenyewe.
Usingizi ni mtaa sana ikiwa huna stressWenyewe hupenda kutumia ugoro ili wapate usingizi
Laini yangu imepoteaStress nazitoa na muziki laini
Kufanya mapenzi bila condom ni hatariMmekosa kazi ya kufanya
Hatari kama mwali wa kinyakiKufanya mapenzi bila condom ni hatari
Kabila lina Matawi yenye uzao wa wajomba na binamu...Kinyakyusa ni lugha ya ki kabila
Binamu anaweza kukufaa sana kama ndugu tu wa karibu.Kabila lina Matawi yenye uzao wa wajomba na binamu...