Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Karibu tukupe huduma za Tiba za kidigitaliBinamu anaweza kukufaa sana kama ndugu tu wa karibu.
Kidigitali watu hutoa huduma mbalimbali kwa urahisi na harakaKaribu tukupe huduma za Tiba za kidigitali
Haraka hiyo ya utoaji huduma imechechemua maendeleo makubwa Tanzania.Kidigitali watu hutoa huduma mbalimbali kwa urahisi na haraka
Wonder if you can complete the task !!Tanzania ya vi wonder
Viwonder na viwanda Tanzania vimemkosesha kura kwa aibu Mr Mzungu na Bob wake, maana alijua Tanzania bado ingali ileee ya Mwalimu Juliasi.Tanzania ya vi wonder
Juliasi ni jina maarufuViwonder na viwanda Tanzania vimemkosesha kura kwa aibu Mr Mzungu na Bob wake, maana alijua Tanzania bado ingali ileee ya Mwalimu Juliasi.
Maarufu kwa sababu alitaka sana nchi yetu iwe moja, tofauti na Mr Mzungu wa Bob aliyekuwa akipiga "visasiasa" vya majimbo.Juliasi ni jina maarufu
Majimbo yanapewa taaluma za kimaendeleo..Maarufu kwa sababu alitaka sana nchi yetu iwe moja, tofauti na Mr Mzungu wa Bob aliyekuwa akipiga "visasiasa" vya majimbo.
Kima aende leo wapi wakati anapaswa kutazamwa na watalii?Majimbo yanapewa taaluma za kimaendeleo..
Watalii wa ndaniKima aende leo wapi wakati anapaswa kutazamwa na watalii?
Ndani na nje, kwa sababu tunahitaji fedha.Watalii wa ndani
Fedha za kigeniNdani na nje, kwa sababu tunahitaji fedha.
Fedha za kigeni kwa jirani zetu ni Tsh inathamani !!Fedha za kigeni
Inathamani pale ambapo itahitajikaFedha za kigeni kwa jirani zetu ni Tsh inathamani !!
Itahitajika mfadhili afungue akaunti benki....Inathamani pale ambapo itahitajika
Benki kuu ya TanzaniaItahitajika mfadhili afungue akaunti benki....
Tanzania inafadhila kubwa ktk ukombozi bara la AfrikaBenki kuu ya Tanzania
Ujumla ni jina la mtaa ninapo ishiAfrika kwa ujumla