Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Ujumla wetu huu na ushiriki hapa basi nimeupenda sana leoAfrika kwa ujumla
Ishi kwingi uone mengi; ishi kuchache uepuke mabaya.Ujumla ni jina la mtaa ninapo ishi
Mabaya yote kwa shetani na mazuri yote kwa MunguIshi kwingi uone mengi; ishi kuchache uepuke mabaya.
Shetan akikubariki unafanikiwa sana unakua tajiriMabaya yote kwa shetani na mazuri yote kwa Mungu
Tajiri kwenye nchi hii sio mwenye pesa mingi bali ni yule asiyejihusisha na siasa.. [emoji16] [emoji16] [emoji16]Shetan akikubariki unafanikiwa sana unakua tajiri
Sent from my SM-J106F using JamiiForums mobile app
Siasa itakuchafua utakapo kurupukaTajiri kwenye nchi hii sio mwenye pesa mingi bali ni yule asiyejihusisha na siasa.. [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Kurupuka lakini kumbuka kutuliza akili kwenye breki.Siasa itakuchafua utakapo kurupuka
Sana sana kichaa pekee ndio ataziaminiBreki za baiskeli siziamin sana
Ataziamini zile bidhaa orijino zenye viwangoSana sana kichaa pekee ndio ataziamini
viwango vya TBS ama Superbrand?Ataziamini zile bidhaa orijino zenye viwango
Superbrand itapendeza ikiruhusiwa Nationwide..viwango vya TBS ama Superbrand?
Superbrand pekee katika uongozi na utawala ni JPMviwango vya TBS ama Superbrand?
Superbrand? Ungekuwa karibu ningekuwekelea makofiviwango vya TBS ama Superbrand?
Nationalwide JPM anakubalikaSuperbrand itapendeza ikiruhusiwa Nationwide..
Makofi umepigwa sana wewe mpaka tumashavu twato tunavuja machozi kama bahari ya PasifikiSuperbrand? Ungekuwa karibu ningekuwekelea makofi
Anakubalika kwakuwa ni utendaji na uwajibikaji wenye Tija....Nationalwide JPM anakubalika
Tija gani sasa? Acha kuropoka kijana.Anakubalika kwakuwa ni utendaji na uwajibikaji wenye Tija....
Kijana umerudi na misongo yako hata huoni uendako!!Tija gani sasa? Acha kuropoka kijana.
Uendako sio kuzuri, soon utakanyaga motoKijana umerudi na misongo yako hata huoni uendako!!