Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Uenda ako na mental stress imetawala kichwaKijana umerudi na misongo yako hata huoni uendako!!
Moto huu wa duniani hauna Atari mie naogopa moto wa JahanamuUendako sio kuzuri, soon utakanyaga moto
Kichwa chaka Kimejaa kutu !!Uenda ako na mental stress imetawala kichwa
Kutu zimemfanya mtukutuKichwa chaka Kimejaa kutu !!
Mtukutu ni mtu kama weweKutu zimemfanya mtukutu
MtukutuKutu zimemfanya mtukutu
Wewe unapendwa na wengi na wewe penda!!Mtukutu ni mtu kama wewe
Penda!! Nasema penda tyuu maan hakuna namna zaidMtukutu
Wewe unapendwa na wengi na wewe penda!!
Zaidi yake sijaonaPenda!! Nasema penda tyuu maan hakuna namna zaid
Hujafika tuu na wewe kwenye mafanikio Kam Mimi na waoZaidi ya kutembea kote bado hujafika?
Wao walibebwa nawe ulichomekea ukaponea hapo!!Hujafika tuu na wewe kwenye mafanikio Kam Mimi na wao
Hapo ndo mahali nimejua Leo kuwa wewe hujuiWao walibebwa nawe ulichomekea ukaponea hapo!!
Hujui kwa Sababu sijakufunza ...Hapo ndo mahali nimejua Leo kuwa wewe hujui
Kijana, kuwa basi! Tangu lini "adhabu" ikafunzwa???Sijakufunza adhabu siku nyingi we kijana..
Ikafunzwa ulinzi jeshi la sungusungu....Kijana, kuwa basi! Tangu lini "adhabu" ikafunzwa???
Kichakani kuna maficho ya ajabu !!Sungu sungu tulikukamata siku ile ukinya kichakani
Ajabu sana.Kichakani kuna maficho ya ajabu !!
Sana sana akipenda boga upende na uwa !!Ajabu sana.
Kijana mie najifunza KISWAHILI cha fasaha..Uwa ndo nini sasa? Inatakiwa uwekwe makofi kijana.