Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Urahisi wa bidhaa hupatikana mnadani...Fasaha ni ile hali ya mtu kuzungumza kitu na akaeleweka kwa urahisi
Mnadani raha sana vitu vingi halafu bei rahisi..Urahisi wa bidhaa hupatikana mnadani...
Rahisi rahisi bali viwango vinakuwa tete...Mnadani raha sana vitu vingi halafu bei rahisi..
Tetemeko la ardhi husababishwa na nini?Rahisi rahisi bali viwango vinakuwa tete...
Nini kilimuua temboTetemeko la ardhi husababishwa na nini?
Tembo unamaanisha yule mshamba wa kimakonde au?Nini kilimuua tembo
Au au !! Alifoka kwa mbwa wa jirani..Tembo unamaanisha yule mshamba wa kimakonde au?
Yako pekee ndiyo ina hadhi...Jirani ni ndugu yako
Tupo Pamoja kwa hali na mali na kimwili...
Pia na kiroho..Kimwili na kiakili pia
KinadundaaPia na kiroho..
Kinadunda kama kitenesiKinadundaa
Kitenesi kimempiga dingi usoniKinadunda kama kitenesi
Usoni ana kinunduKitenesi kimempiga dingi usoni
Kinundu umepigwa kisa ugomviUsoni ana kinundu
Ugomvi huwa sipendi kabisaKinundu umepigwa kisa ugomvi