Neurologist
JF-Expert Member
- Nov 5, 2020
- 518
- 1,296
Nione moyo wako niamini unalosemaNjema ya moyoni haitodhihiri hadi nione...
Unalosema liambatane kwa vitendo isiwe hoja!!Nione moyo wako niamini unalosema
Ulosema moyo ni kichakaNione moyo wako niamini unalosema
Hoja ni mapenzi mubashara.Unalosema liambatane kwa vitendo isiwe hoja!!
Njema sana siku hii ya BwanaNakuchunia kwa nia njema
Mubashara imepitwa na wakatiHoja ni mapenzi mubashara.
Hoja za ccm ni dhaifuUnalosema liambatane kwa vitendo isiwe hoja!!
Bwana asipoulinda mji waulindao wanakesha bureNjema sana siku hii ya Bwana
bure lkn ina gharamaBwana asipoulinda mji waulindao wanakesha bure
Gharama ya urafiki ni kuaminianabure lkn ina gharama
kuaminiana ila sio kwa kukopeshanaGharama ya urafiki ni kuaminiana
Kukopeshana kwa Sababu mumeshibana..kuaminiana ila sio kwa kukopeshana
mumeshibana ila mnaweza kuikhtalifianaKukopeshana kwa Sababu mumeshibana..
Kuikhtalifiana huleta mawazo yasiyo na ukomo.mumeshibana ila mnaweza kuikhtalifiana
Ukomo wa ndoa ni kifoKuikhtalifiana huleta mawazo yasiyo na ukomo.
Kifo huleta simanzi kwa wengiUkomo wa ndoa ni kifo
Wengi hawajui kilichomtoa fisi manyoyaKifo huleta simanzi kwa wengi
Manyoya yakionekana jua umeliwaWengi hawajui kilichomtoa fisi manyoya
Umeliwa tena kibuduManyoya yakionekana jua umeliwa
kibudu ni kuchinjwa pasipo kufuata muongozo uliowekwaUmeliwa tena kibudu