T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Hakuna mwanaume wa kukuoa weweJoto hasira na pesa hakuna...
Wewe je utamuoa nani? [emoji16]
Nani kakwambia nataka kuoa?Wewe je utamuoa nani? [emoji16]
Kuoa utake wewe kelele utufanyie sisi
Sisi hatujali wala niniKuoa utake wewe kelele utufanyie sisi
nini unataka kwangu bibie nimeona pm yakoSisi hatujali wala nini
Yako pia nimeiona nimeshangaa etinini unataka kwangu bibie nimeona pm yako
eti enhe,basi iwe siri yetu hata mods wasijue,umenisikia lakini bibie?Yako pia nimeiona nimeshangaa eti
Bibie kanidokeza kuwa unamtongaza uko pmeti enhe,basi iwe siri yetu hata mods wasijue,umenisikia lakini bibie?
Pm?yeah niko huko tunayajenga,sema huwa siachi kujiuliza" JE TUTAFIKA"Bibie kanidokeza kuwa unamtongaza uko pm
Tutafika tu wangu tuliza nafsi..Pm?yeah niko huko tunayajenga,sema huwa siachi kujiuliza" JE TUTAFIKA"
Nafsi imetulia,Tutafika tu wangu tuliza nafsi..
Hakuna pesa hakuna mapenziJoto hasira na pesa hakuna...
Sisi wengine tuliolewa zamaniKuoa utake wewe kelele utufanyie sisi
Yako mahaba anayataka ujuenini unataka kwangu bibie nimeona pm yako
Tutafika tu kileleniPm?yeah niko huko tunayajenga,sema huwa siachi kujiuliza" JE TUTAFIKA"
Kileleni umeshawahi kufikishwa?Tutafika tu kileleni
Kufikishwa kileleni ndo nini kwani?Kileleni umeshawahi kufikishwa?
Kwani hufahamu si juu ya mlima?Kufikishwa kileleni ndo nini kwani?