Mchanga kwenye sekta ipiNgapi nini wewe! Tulia bado mchanga.
Ipi ni rangi nzuri na ya kuvutia?Mchanga kwenye sekta ipi
Kuvutia kwa mtu papo machoni kwa mtazamajiIpi ni rangi nzuri na ya kuvutia?
Mtazamaji atavutiwa vipi kama hakuna anachokitizamaKuvutia kwa mtu papo machoni kwa mtazamaji
Anachokitazama ni mwenendo wa mke mtarajiwa...Mtazamaji atavutiwa vipi kama hakuna anachokitizama
11+11 = 1111+1= 11 ✓
Mtarajiwa wa manara ni yanga.Anachokitazama ni mwenendo wa mke mtarajiwa...
Yanga ni klabu mbovu sanaMtarajiwa wa manara ni yanga.
Sana uto wana hali ngumuYanga ni klabu mbovu sana
Tamaa mbele mauti nyumaHali ngumu huhitajia jitihada,sio kukatiwa tamaa.
Nyuma sio patamu kuliko mbeleTamaa mbele mauti nyuma
Mbele ya nyumba kuna mti mkubwaNyuma sio patamu kuliko mbele
Mkubwa sana yani bonge la jambazi jana lilipita lindo, ulikua wapi usinilindeMbele ya nyumba kuna mti mkubwa
Usilinde ndio kauli ilioona inafaaMkubwa sana yani bonge la jambazi jana lilipita lindo, ulikua wapi usinilinde
Inafaa kwa kuwa unataka kutulinda sote, wakati mimi nakulipa dolariUsilinde ndio kauli ilioona inafaa
Dollari haina thamani mbele dhahabu...Inafaa kwa kuwa unataka kutulinda sote, wakati mimi nakulipa dolari
Dhahabu inathamani gani sokoni?
sokoni bidhaa zipi zina bei nafuu?