Wakati ndo huu wa kuitoa nanihiii madarakaniInawezakana ndio maana watanzania wako uchumi wakati
Weledi ni kitu/jambo jema sana wapendwaMadarakani ndio sehem pekee pa kuwatumikia wananchi kwa weledi
Wapendwa nawasalimu.. "hamjambo?Weledi ni kitu/jambo jema sana wapendwa
Hamjambo na nyie huko?Wapendwa nawasalimu.. "hamjambo?
Hamjambo na nyie huko?
Konyagi ukinywa sana kale kajamaa kalichoweka mikono juu kanashusha chini.Huko wametulia tu wanakunywa konyagi
Chini ndio sehem panapotumalizia pesa Wanaume [emoji23][emoji23]Konyagi ukinywa sana kale kajamaa kalichoweka mikono juu kanashusha chini.
[emoji23][emoji23] kabisa kwakweliChini ndio sehem panapotumalizia pesa Wanaume [emoji23][emoji23]
Kuhangaika kwa moyo mmoja hutoanguka..Wanaume tumeumbwa mateso,mateso,kuhangaika!
Hutoanguka ni neno la uongo maana hakuna Marefu yasiyo na ncha! Kuna awamu mataifa makubwa dunia kama Roma, USSR na Ujerumani chini ya Hitler dunia iliamini wasingekumbwa.Kuhangaika kwa moyo mmoja hutoanguka..
Wasingekubali kuja huku kamwe tusingalienda kwaoHutoanguka ni neno la uongo maana hakuna Marefu yasiyo na ncha! Kuna awamu mataifa makubwa dunia kama Roma, USSR na Ujerumani chini ya Hitler dunia iliamini wasingekubwa.
Sawa ni kukubali kila kitusawa
Kitu cha kuzingatia ni kuhakikisha kila mmoja wetu anajitoa kwa mwenzieSawa ni kukubali kila kitu
Mwenzie alichelewa kuhudhuria mahakamaniKitu cha kuzingatia ni kuhakikisha kila mmoja wetu anajitoa kwa mwenzie
Mahakamani sikuiz cyo tena sehem ya kupata haki ya uhakikaMwenzie alichelewa kuhudhuria mahakamani
Uhakika ni ukweli wa jambo pasipo na mashakaMahakamani sikuiz cyo tena sehem ya kupata haki ya uhakika
Fedheha hasa ya kufumaniwa.Mwema mmoja alinikomboa ktk fedheha...