Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Mbele ya nia njema, selflessness and bidii hakuna kinachoshindikana kwenye duniaWanawezeshwaje walemavu kusonga mbele
Dunia tambara bovuMbele ya nia njema, selflessness and bidii hakuna kinachoshindikana kwenye dunia
Mnadani kunauzwa mpaka madini ya chumviUrahisi wa bidhaa hupatikana mnadani...
Chumvi imeadimika kama Zuleykha alivyopoteaMn
Mnadani kunauzwa mpaka madini ya chumvi
Alivyopotea Ben saa naneChumvi imeadimi kama Zuleykha alivyopotea
Nane nane hapa Tanzania ni sikukuu ya wakulima..Alivyopotea Ben saa nane
Wakulima wengi hapa nchini wanadharauliwa wakati ndo wanatulisha, sijui hata kwaniniNane nane hapa Tanzania ni sikukuu ya wakulima..
Elimu ni ufunguo wa maisha.Kitu kilichopewa umuhimu ni elimu
Maisha yako na yangu kwa umri huu yamejaa simuliziElimu ni ufunguo wa maisha.
Simulizi ni tofauti na fasihi simulizi?Maisha yako na yangu kwa umri huu yamejaa simulizi
Simulizi nyingi sana, nyingine za raha nyingine za huzuni.Maisha yako na yangu kwa umri huu yamejaa simulizi
Chumvi ya kulamba lamba nayo ni chumvi.Mn
Mnadani kunauzwa mpaka madini ya chumvi
Chumvi au chumvini [emoji38][emoji38]Chumvi ya kulamba lamba nayo ni chumvi.
Chumvini uvinza kigoma huko kwa Zitto Kabwe.Chumvi au chumvini [emoji38][emoji38]
Kabweteka baada ya kupokea kiunua mgongoChumvini uvinza kigoma huko kwa Zitto Kabwe.
Kabweteka baada ya kupokea kiunua mgongo
JF imepwaya kwa sbb wachangiaji wapo likizoMgongo umejikunja kisa kuinamia jf
JF imepwaya kwa sbb wachangiaji wapo likizo
Wanafunzi wapo ktk dhamana ya wizara ya elimuLikizi ndo kipindi pendwa zaidi kwa wanafunzi
Elimu itawasaidia sana vijana wa TanzaniaWanafunzi wapo ktk dhamana ya wizara ya elimu