Kuandika kwa hizi simu ni tofauti na kwenye karatasi kwa kutumia kalamu maana lengo lilikua kuandika mtungi” ila nilipobonyeza ikajibonyeza zaidi.mtungo enyewe umekosea kuandika
zaidii ya apo inatakiwa uwe makiniKuandika kwa hizi simu ni tofauti na kwenye karatasi kwa kutumia kalamu maana lengo lilikua kuandika mtungi” ila nilipobonyeza ikajibonyeza zaidi.
Makini pekee haitoshi inahitajika umaridadi pia.zaidii ya apo inatakiwa uwe makini
pia wew ni mueleweMakini pekee haitoshi inahitajika umaridadi pia.
Muelewe yahitaji haiba na tashtiti kunapokuja swala la fasihi ya uandishi na zaidi kunako simulizi.pia wew ni muelewe
simulizi simulia wakuskilizeMuelewe yahitaji haiba na tashtiti kunapokuja swala la fasihi ya uandishi na zaidi kunako simulizi.
Muongo hupenda sikilizwa yeye tu na huwa mjuvi.Wakusikilize mwisho wakuone Muongo
Mjuvi wa kila kitu ni vizuri ila isizidi maana huleta kuonekana muongoMuongo hupenda sikilizwa yeye tu na huwa mjuvi.
Muongo nenda nae hadi mlangoniMjuvi wa kila kitu ni vizuri ila isizidi maana huleta kuonekana muongo
Mlangoni kuna watu wamejaa wanahitaji malipoMuongo nenda nae hadi mlangoni
Malipo ni hapa hapa DunianiMlangoni kuna watu wamejaa wanahitaji malipo
Malipo nalipaga mwisho wa mwezi tu hao wasubiri.Mlangoni kuna watu wamejaa wanahitaji malipo
Dunaian tumekuja kutembeaMalipo ni hapa hapa Duniani
Kutembea na kuchukuwa kisimati ulicho zawadiwaDunaian tumekuja kutembea
Zawadiwa na wewe kismati kama ni rahisiKutembea na kuchukuwa kisimati ulicho zawadiwa
Rahisi kwangu ila kwa Mwanangu ni ghali...Zawadiwa na wewe kismati kama ni rahisi
Ghali sana kununua almasi bora dhahabuRahisi kwangu ila kwa Mwanangu ni ghali...
Dhahabu na thamani yake yote inaishia kuibeba almasiGhali sana kununua almasi bora dhahabu
Almasi aghali watu wameishia tu kujiita majinaDhahabu na thamani yake yote inaingia kuibeba almasi