Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Majna mazuri kama onlyalvira hung'aa kama Almasss...Almasi aghali watu wameishia tu kujiita majina
Almasss ukiisikia unakumbuka MwaduiMajna mazuri kama onlyalvira hung'aa kama Almasss...
Mwadui Williamson diamond mines ni Mgodi asilia...Almasss ukiisikia unakumbuka Mwadui
Asilia asali lakini ngozi yao Waafrika hawaipendi asilaniMwadui Williamson diamond mines ni Mgodi asilia...
MAWAZO MABAYA NA YA KINYUMBU NI PALE UNAPODHANI CCM ITATOKA MADARAKANI KWA NJIA YA KURAlock haitoki bar ladba upunguze mawazo
Aslan ni neno la kiarabu ina maana ya ExactlyAsilia asali lakini ngozi yao Waafrika hawaipendi asilani
Exactly kama ambavyo umesemaAslan ni neno la kiarabu ina maana ya Exactly
Umesema methali kuntu yenye kulenga maudhui..Exactly kama ambavyo umesema
Maudhui mazuri ndiyo msingi wa taaluma ya uandishi wenye welediUmesema methali kuntu yenye kulenga maudhui..
Weledi wa mkandarasi hufikia ukomo kwenye mmongonyoko wa ardhiMaudhui mazuri ndiyo msingi wa taaluma ya uandishi wenye weledi
Ardhi ni mojawapo ya vyuo vikuu TanzaniaWeledi wa mkandarasi hufikia ukomo kwenye mmongonyoko wa ardhi
Tanzania ni nchi huruArdhi ni mojawapo ya vyuo vikuu Tanzania
Hasa mikoani ndiyo fursa za kupata mashambaHuru kwenye jambo gani hasa?!
Mashamba ya kilimo cha biashara na uwekezaji huinua sana kipato cha wananchiHasa mikoani ndiyo fursa za kupata mashamba
Wananchi wenye hali ya chiniMashamba ya kilimo cha biashara na uwekezaji huinua sana kipato cha wananchi
Chini ya Jangwa la Sahara hali ni mbaya sana kiuchumi.Wananchi wenye hali ya chini
Kiuchumi ni kuzidiana maarifa..Chini ya Jangwa la Sahara hali ni mbaya sana kiuchumi.
Maarifa ya wataalamu wetu wa fani ya afya ni kubwa ajabuKiuchumi ni kuzidiana maarifa..
Ajabu ya hadithi za AbuNuasi zinamvutoMaarifa ya wataalamu wetu wa fani ya afya ni kubwa ajabu