Wa mwisho ndiyo mshindi

Amependelewa sana yule afuatae knanuni za Mungu
Mungu ameijalia nchi yetu nzuri ya Tanzania [emoji1241] rasilimali karibu za kila namna pamoja na ardhi kubwa yenye utajiri na rutuba, na watu wengi kama ishara kwamba fanaka hizi zinapaswa kutumika ili kukuza uchumi himilivu, maendeleo na ustawi wa raia pamoja na uimarishaji wa diplomasia thabiti na usalama wetu kitaifa na kimataifa
 
Kimataifa waTanzania tuna hadhi na itifaki zinajieleza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…