dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Ikulu si Mahali pa Mchezo mchezoTrump ameshapamiss ikulu
Mchezo wa simba na mazembe umeishaje.Ikulu si Mahali pa Mchezo mchezo
Umeishaje hata sijui mpira wa bongo sijawahi kaa chini kuuangaliaMchezo wa simba na mazembe umeishaje.
Kuuangalia kinyanganyiro cha wagombea madaraka..Umeishaje hata sijui mpira wa bongo sijawahi kaa chini kuuangalia
Madaraka matamu asikwambie mtuKuuangalia kinyanganyiro cha wagombea madaraka..
Mtu yoyote ana umuhimu wake piaMadaraka matamu asikwambie mtu
pia wew ni muhimu kwangMtu yoyote ana umuhimu wake pia
Kwangu pia wewe ni muhimu,nashukuru sanapia wew ni muhimu kwang
sana tuombe uzimaa tu na ili janga la covidKwangu pia wewe ni muhimu,nashukuru sana
Covid ina tutesa sana,tujikinge na kuchukua hatadharisana tuombe uzimaa tu na ili janga la covid
tahadhari pamoja na kumuomba mungu, pasipo yeye kulishinda ilo jaribu ni ngumuCovid ina tutesa sana,tujikinge na kuchukua hatadhari
Ngumu sana,nadhan kila mtu anajua la kufanyatahadhari pamoja na kumuomba mungu, pasipo yeye kulishinda ilo jaribu ni ngumu
Mtu ni utu usihadakie na uchu....Madaraka matamu asikwambie mtu
Kufanya tunafanya kwa mikurupuko bila nidhamuNgumu sana,nadhan kila mtu anajua la kufanya
Nidhamu ya uogaKufanya tunafanya kwa mikurupuko bila nidhamu
uoga ni dalili yakufeli inatakiwe uwe imara kama simbaNidhamu ya uoga
Simba mwenda pole ndiye mla nyamauoga ni dalili yakufeli inatakiwe uwe imara kama simba
Nyama ya Ngamia inachochea kutunishaSimba mwenda pole ndiye mla nyama
Nyama ya Ngamia inachochea kutunisha
Kuzuri kwenye kurusha chemchem..Kutunisha ni kuzuri