Wa mwisho ndiyo mshindi

Hapa kuna tatizo mathalani wale ambao tayari wamejijingea hofu isiyokuwepo hasa juu ya korona, wakati JPM amesema tuchape kazi huku tukimtanguliza Maulana
Maulana nae pia tunampa mizigo isiyomuhusu,maana tunatakiwa sisi kama waungwana tujikinge na corona,JPM anakosea sana,alitakiwa awaambie wananchi wachape kazi na kuchukua tahadhari na kujikinga.
 
Reactions: ABJ
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…