20 21 22 23... Hata sijui mnahesabu nini?18 19 20
Nini? Utafungwa kifungo cha maisha20 21 22 23... Hata sijui mnahesabu nini?
Maisha bora ya Watanzania yanajengwa na sisi wenyewe; hakuna mtu atakayetoka huko London & Washington kuja kutujengea uchumi wetu na kutufanikishia maendeleoNini? Utafungwa kifungo cha maisha
Maendeleo tunayapa kipaumbele bila mjadala!!Maisha bora ya Watanzania yanajengwa na sisi wenyewe; hakuna mtu atakayetoka huko London & Washington kuja kutujengea uchumi wetu na kutufanikishia maendeleo
Mjadala ni atakaekuwa wa mwisho.... Nani wa mwishoMaendeleo tunayapa kipaumbele bila mjadala!!
Mjadala huu uendelee au usiendelee?Maendeleo tunayapa kipaumbele bila mjadala!!
Usiendelee kunijibu hivyoMjadala huu uendelee au usiendelee?
Hivyo tuendelee kujadilianaUsiendelee kunijibu hivyo
Kujadiliana kuhusu mkakati wa kuondoa ukomo wa Urais na kumsihi kipenzi chetu JPM aendelee kusimamia harakati za ustawi wa nchi yetu, ndilo jambo linalopaswa kupewa kipaumbeleHivyo tuendelee kujadiliana
Kipaumbele ni ChatoKujadiliana kuhusu mkakati wa kuondoa ukomo wa Urais na kumsihi kipenzi chetu JPM aendelee kusimamia harakati za ustawi wa nchi yetu, ndilo jambo linalopaswa kupewa kipaumbele
Chato ni ikulu ndogoKipaumbele ni Chato
Chato ni sampuli ndogo tu ya vile kila mji na eneo hapa nchini linavyopaswa kuwa; JPM anatuonesha tentative plan ya namna Tanzania inavyotakiwa kuwa (au most accurately, ilivyotakuwa kuwa ilee kitambo kama tusingeibiwa na mabwanyenye, mabeberu, mabepari na madalali wao). Chato inatakiwa ijengwe iwe bora zaidi ya Seattle.Kipaumbele ni Chato
Ndogo kwa kuwa nchi ni kubwaChato ni ikulu ndogo
Kubwa ni tishioNdogo kwa kuwa nchi ni kubwa
Tishio la kutokwenda dubai kula bataKubwa ni tishio
Bata na mayai yake ninayo hapa mubashara...Tishio la kutokwenda dubai kula bata
Mubashara azam tv au Nyumbu TvBata na mayai yake ninayo hapa mubashara...
TV yangu 65" curve imeharibika sbb ni Umeme.Mubashara azam tv au Nyumbu Tv
Umeme huku kwetu unasumbua sana kukatika katikaTV yangu 65" curve imeharibika sbb ni Umeme.
Katika katika n katika tuUmeme huku kwetu unasumbua sana kukatika katika