onlyalvira
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 1,499
- 3,113
Nimeuliza pia,ndio nani huyo??Asiyemfahamu si mimi hapa ndo maana nimeuliza..!
Huyohuyo unayemuuliza wewe nami ndo nataka kumfahamuNimeuliza pia,ndio nani huyo??
Kumfahamu kutakusaidia nini?Huyohuyo unayemuuliza wewe nami ndo nataka kumfahamu
Nini wamaanishaKumfahamu kutakusaidia nini?
Kweli kabisaJokes jokes mwishowe kweli.. [emoji12]
Kweli kabisa, ujamaa maana yake kutumia rasilimali za nchi kwa manufaa na maendeleo ya watu wote na kugawana mali inayopatikana kwa haki miongoni mwa wote walioizalisha, isipokuwa wale wenye haki ya kula bila kufanya kaziKweli kabisa
Kazi ni.msingi wa maendeleo, hivi wewe jamaa ni ccm au kwa jina lingine matagaKweli kabisa, ujamaa maana yake kutumia rasilimali za nchi kwa manufaa na maendeleo ya watu wote na kugawana mali inayopatikana kwa haki miongoni mwa wote walioizalisha, isipokuwa wale wenye haki ya kula bila kufanya kazi
Mataga! Jasmoni Tegga ni ccm damu damu ,halifahamu hiloKazi ni.msingi wa maendeleo, hivi wewe jamaa ni ccm au kwa jina lingine mataga
Hilo nimeliona kutokana na maandishi yake yaliyojaa kusifu na kuabuduMataga! Jasmoni Tegga ni ccm damu damu ,halifahamu hilo
Kuabudu ni lazima,hebu tuondoke asije tukuta hapaHilo nimeliona kutokana na maandishi yake yaliyojaa kusifu na kuabudu
Hapa tusiondoke, fita ni fita mraaKuabudu ni lazima,hebu tuondoke asije tukuta hapa
Mraa basi tusubiri ili tupambane nae mkuuHapa tusiondoke, fita ni fita mraa
Mkuu ndugu yangu onlyalvira kwemaMraa basi tusubiri ili tupambane nae mkuu
Kwema kabisa mkuu T 1990 ELY vp upande wakoMkuu ndugu yangu onlyalvira kwema
Hii, Wapendwa nafurahia michango yenu adhimu
Lazima niwe wa mwishoHii, Wapendwa nafurahia michango yenu adhimu
Wako wengi sana hapaKwema kabisa mkuu T 1990 ELY vp upande wako