Wa mwisho ndiyo mshindi

Vituko kama vya Sokomoko au Ndumilakuwili?
Ndumilakuwili wapo kila kona ya taifa letu wakidai kuipenda nchi yao, wakati huohuo wanatamani ivurugike, isifanye jitihada za maendeleo, isiwe na viongozi makini wanaopiga vita rushwa, ufisadi, uzembe, uhujumu-uchumi, ukuwadi na ubadhirifu wa mali za umma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…