Mezani kula kila aina ya msosi ttz sina hamu ya kula kabisaKatiba makini itapatikana tutakapo kaa na kujadili pamoja mezani...
Kula Kabisa iliyopikwa kwa machozi wa chukuchuku...Mezani kula kila aina ya msosi ttz sina hamu ya kula kabisa
Chukuchuku ndio inaleta afya nzuriKula Kabisa iliyopikwa kwa machozi wa chukuchuku...
Afya nzuri ni hazina na rasilimali iliyojificha..Chukuchuku ndio inaleta afya nzuri
Iliyojificha katikati ya miguu umeiona ilivyonenepaAfya nzuri ni hazina na rasilimali iliyojificha..
Ilivyonenepa ile ng'ombe inafaa kuchinjwa siku ya keshoIliyojificha katikati ya miguu umeiona ilivyonenepa
Kesho ni siku ya ibada kwa waislamIlivyonenepa ile ng'ombe inafaa kuchinjwa siku ya kesho
Waislam hata wa sio waislam,tuchinje tule na biriani au pilauKesho ni siku ya ibada kwa waislam
Pilau la kuku au la ng'ombe?Waislam hata wa sio waislam,tuchinje tule na biriani au pilau
ng'ombe ndo mkubwa kuku tutamuone pati si ya kitotoPilau la kuku au la ng'ombe?
Mambo ya pwani yananichanganyaKitoto kinayajua mambo
Apunguziwe tu kwakweli maana kesha tunyoosha inatoshaAliyopewa ni mingi apunguziwe
Inatosha kulalama lalama minajili haisaidi chochote zaidi ya kurushana roho...Apunguziwe tu kwakweli maana kesha tunyoosha inatosha
Roho za Watanzania wote zimeridhika na utendaji mujarabu wa kipenzi chetu JPM, PM na Baraza lake la Mawaziri wanafanya kazi nzuri -- tuwaunge mkono, si kwa maneno tu, bali kwa vitendoInatosha kulalama lalama minajili haisaidi chochote zaidi ya kurashana roho...
Vitendo ni bora kuliko manenoRoho za Watanzania wote zimeridhika na utendaji mujarabu wa kipenzi chetu JPM, PM na Baraza lake la Mawaziri wanafanya kazi nzuri -- tuwaunge mkono, si kwa maneno tu, bali kwa vitendo
Maneno ya mkosajiVitendo ni bora kuliko maneno
Mkosaji inabidi aombe msamahaManeno ya mkosaji
Msamaha haupoMkosaji inabidi aombe msamaha