Sheria ni msumeno hukata huku na kuleKufahamika sio kigezo cha kuvunja sheria.
Kule kwenye uzi wa usiku wa manane huwaga unaingiaSheria ni msumeno hukata huku na kule
Unaingia pia? Mimi kule ndo nyumbani zikipita siku mbili tatu bila kupatembelea naumwaKule kwenye uzi wa usiku wa manane huwaga unaingia
Naumwa rafiki, ndio maana hunioni kuleUnaingia pia? Mimi kule ndo nyumbani zikipita siku mbili tatu bila kupatembelea naumwa
Kule unashindwa vipi kwenda wakati hapa unakuja?Naumwa rafiki, ndio maana hunioni kule
Unakuja lakini kwenda hutakiKule unashindwa vipi kwanda wakati hapa unakuja?
Hutaki kuja kupiga story na sisi walinzi wa kujitegemeaUnakuja lakini kwenda hutaki
Kujitegemea kwetu pamoja na sera nzuri ya Ujamaa ni mafanikio makubwa ya JK na ndio maendeleo wa serikali ya awamu ya tano ya Jembe letu JPMHutaki kuja kupiga story na sisi walinzi wa kujitegemea
Kujitegemea umeanza lini nimeanza kulinda wiki na nilikua sikuoni?Hutaki kuja kupiga story na sisi walinzi wa kujitegemea
Sikuoni pia kwani unalindo la pande ganiKujitegemea umeanza lini nimeanza kulinda wiki na nilikua sikuoni?
Sikuoni ndio maana wewe umeanza kulinda wiki hii wakati wenzio tu wakongwe wa miaka mingiKujitegemea umeanza lini nimeanza kulinda wiki na nilikua sikuoni?
Gani!!, la server za jeifu kule usiku wa mananeSikuoni pia kwani unalindo la pande gani
JPM alikupa nini Jasmoni Tegga au ulikunywa maji ya bendera ya kijani?Kujitegemea kwetu pamoja na sera nzuri ya Ujamaa ni mafanikio makubwa ya JK na ndio maendeleo wa serikali ya awamu ya tano ya Jembe letu JPM
Mingi miaka, kama mingapi?Sikuoni ndio maana wewe umeanza kulinda wiki hii wakati wenzio tu wakongwe wa miaka mingi
Kijani itakua shuka lake kuna ndugu yake anajiita political scientist.JPM alikupa nini Jasmoni Tegga au ulikunywa maji ya bendera ya kijani?
Mingapi mnabishana wakongwe tumetuliaMingi miaka, kama mingapi?
Mingapi mnabishana wakongwe tumetuliaMingi miaka, kama mingapi?
Tulia tuli bwana mdogo cheki joined date yangu compare na yako.Mingapi mnabishana wakongwe tumetulia
Tumetulia kama Tulia AksonMingapi mnabishana wakongwe tumetulia
Yako kweli umenitangulia mwezi mmojaTulia tuli bwana mdogo cheki joined date yangu compare na yako.