Wa mwisho ndiyo mshindi

Ndani yetu tumejawa na chuki ndio maana urafiki unakuwa wa mashaka


Mashaka yanakuja pale unapoifanya chuki ya mwingine isiyokuwa na msingi wala mantiki iwe sehemu ya maisha yako mwenyewe. We must mind our own business as long as we care for others; wengine wasemacho juu yetu is none of our business --- kama mambo yetu mazuri yanawapa taabu na wakati mgumu, basi sisi hatuna la kuwasaidia watu kama hao
 
hao unaowasema ndio tunaishi nao kila siku kwenye maisha
 
hao unaowasema ndio tunaishi nao kila siku kwenye maisha
Maisha ni kama maji na sukari na chumvi --- tunaishi na watu wanaoongeza ama sukari au chumvi majini; sasa tunapaswa kuongeza ladha tamu ili ibatilishe uchungu wanaoweka wahujumu wa maisha mazuri, yenye furaha na raha. You always get what you put into life. Garbage in, garbage out. Ukiweka furaha, amani, na mafanikio, basi utavuna furaha, amani na mafanikio, tena kwa wingi. Ndiyo maana JPM anatuambia tuilinde amani yetu tusiruhusu kamwe Wabelgiji, London & Washington waiteke tutajuta
 
Tutajuta Majuto ya firauni kuvuka bahari..
 
Tutajuta Majuto ya firauni kuvuka bahari..

Bahari ambayo imevukwa na serikali hii ya awamu ya tano, kwa mihula yote miwili, ina kina kirefu kiasi kwamba asingeweza kiongozi mwingine kama angekuwa dhaifu na legelege --- nchi yetu ilikuwa shamba la bibi, kiota cha kila aina ya ndege. Angalau sasa sura na ramani ya nchi yetu inaonekana wazi
 
Wazi haswa na dhahiri tunashukuru Kuona hadhi na ufahari !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…