Kujibu vizuri siweziHivyo ndio vizuri kujibu?
Kujibu kwangu ndiyo amani yanguHivyo ndio vizuri kujibu?
Siwezi kamwe kutembea na mke wa mtuKujibu vizuri siwezi
Amani yangu ni kushinda hili shindanoKujibu kwangu ndiyo amani yangu
Shindano lenyewe halina ukomoAmani yangu ni kushinda hili shindano
Kijamii na kiutawala ni vitu viwili tofauti kabisaYule mwekezaji alilenga kufaidika kabla ya kugharamia miradi ya kijamii.....
Kabisa tugundue uzushi wenye nia ya kuleta HOFU na taharuki vimeenea sana mpaka keroKijamii na kiutawala ni vitu viwili tofauti kabisa
Kero nyingi za wananchi hazitatuliwi wachache wana neemeka na keki ya TaifaKabisa tugundue uzushi wenye nia ya kuleta HOFU na taharuki vimeenea sana mpaka kero
Taifa linajitahidi kuwaelimisha raia wawe na uelewa mpana wa kuhusika kikamilifu katika kulijenga; siyo kuwa walalamishi na wakosoaji wasio na tijaKero nyingi za wananchi hazitatuliwi wachache wana neemeka na keki ya Taifa
Tija inayopatikana inawanufaisha wachacheTaifa linajitahidi kuwaelimisha raia wawe na uelewa mpana wa kuhusika kikamilifu katika kulijenga; siyo kuwa walalamishi na wakosoaji wasio na tija
Tija inayopatikana inawanufaisha wachache
Wachache ndiyo wanaofaidi Keki ya Taifa.Tija inayopatikana inawanufaisha wachache
Taifa halijulikani linaelekea wapi, tuliowapa dhamana ya kutuvusha sio wa kweli, wanatuficha mambo mengi yanayotuhusuWachache ndiyo wanaofaidi Keki ya Taifa.
Yanayotuhusu sisi wazazi ni kusimamia familia vilivyo na ikipaswa kutumia vibokoTaifa halijulikani linaelekea wapi, tuliowapa dhamana ya kutuvusha sio wa kweli, wanatuficha mambo mengi yanayotuhusu
Viboko vya nn tena ndugu,tutaumizana sasaYanayotuhusu sisi wazazi ni kusimamia familia vilivyo na ikipaswa kutumia viboko
sasa mbinu gani nzuri ya kuadhibu?Viboko vya nn tena ndugu,tutaumizana sasa
Kuadhibiwa na mzazi ni kuleleka haswa ila kuadhibiwa nje ni kukomolewa..sasa mbinu gani nzuri ya kuadhibu?
Kuadhibu kwa maneno au vitendo kwa kuirushia lawama serikali, wakati mwingine huleta madhara zaidi badala ya kujenga; huu ni muda mwafaka wa kujenga kizazi bora cha baadayesasa mbinu gani nzuri ya kuadhibu?
Baadaye ukiwa mpole utasikia mabilioni yamekwapuliwa na wachacheKuadhibu kwa maneno au vitendo kwa kuirushia lawama serikali, wakati mwingine huleta madhara zaidi badala ya kujenga; huu ni muda mwafaka wa kujenga kizazi bora cha baadaye