Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Baadaye zitakuja hadithi za ilikuwa hivi au vile!!Kuadhibu kwa maneno au vitendo kwa kuirushia lawama serikali, wakati mwingine huleta madhara zaidi badala ya kujenga; huu ni muda mwafaka wa kujenga kizazi bora cha baadaye
Vile viatu ulivyo ninunulia havijanitosha[emoji4]Baadaye zitakuja hadithi za ilikuwa hivi au vile!!
Havijanishoshaa ulivonipaVile viatu ulivyo ninunulia havijanitosha[emoji4]
Ulivonipa ile namba nikasahau kuisaveHavijanishoshaa ulivonipa
Kuisave vipi wakati umeiweka moyoniUlivonipa ile namba nikasahau kuisave
Moyoni tena si mlikubaliana kila mtu ampende mwenzieKuisave vipi wakati umeiweka moyoni
Mwenzie nimemwambia nimesahau kuisave kwenye cm yeye anaanza mambo ya moyoni tenaMoyoni tena si mlikubaliana kila mtu ampende mwenzie
Tena vitu gani hivi jamani waungwana; mambo ya wakubwa hayo mwaachie wenyewe tutafika tu muda ukifikaMwenzie nimemwambia nimesahau kuisave kwenye cm yeye anaanza mambo ya moyoni tena
Ukifika wakati sahihi wa Bwana hakuna wakupinga..Tena vitu gani hivi jamani waungwana; mambo ya wakubwa hayo mwaachie wenyewe tutafika tu muda ukifika
Wakupinga maendeleo na hatua njema za ustawi wa nchi yetu kila raia mwema lazima atamshangaa kwa sababu hana malengo mema na taifa zuri la Tanzania na raia wakeUkifika wakati sahihi wa Bwana hakuna wakupinga..
Wake wa mfalme Suleiman sijui walikuwa hawaoneani wivuWakupinga maendeleo na hatua njema za ustawi wa nchi yetu kila raia mwema lazima atamshangaa kwa sababu hana malengo mema na taifa zuri la Tanzania na raia wake
Wivu unatoaka wap wakati kila mtu anapata mahitajo uale kwa wakatiWake wa mfalme Suleiman sijui walikuwa hawaoneani wivu
Wivu unawafanya wengi wasiendelee hata kama wana fursa 100% za kufanikiwa; wanakuwa na wivu & husuda kiasi kwamba hata wao wenyewe wanajionea wivu[emoji56]Wake wa mfalme Suleiman sijui walikuwa hawaoneani wivu
Wakati wako wa kufanya mabadiliko ya fikra ufike haraka jamaniWivu unatoaka wap wakati kila mtu anapata mahitajo uale kwa wakati
Jamani kuna habari gani hukuWakati wako wa kufanya mabadiliko ya fikra ufike haraka jamani
Huku hakuna jipya mkuu, tupe habari wewe Kama unazoJamani kuna habari gani huku
Huku kuna wanadamu wanaipenda sana nchi yao hasa huyu onlyalvira & Zamiluni Zamiluni & ABJ & Mtende & Jasmoni Tegga. Halafu huyu cariha siku hizi haonekani hapa. Majukumu sijui?Jamani kuna habari gani huku
Unazo sifa gani ambazo mwingine hanaHuku hakuna jipya mkuu, tupe habari wewe Kama unazo
Unazo ila unazidifu tusizijueHuku hakuna jipya mkuu, tupe habari wewe Kama unazo
Unazo ila unazidifu tusizijue