Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Mwetu moyoni mnaweza kuwemo mengi tu, lakini si kila jambo kulianika kama adesi za Tanga & PwaniTusijizuie kusema yaliyo moyoni mwetu
Tanga & Pwani kumekuwaje tena mbona wanipa wasi wasiMwetu moyoni mnaweza kuwemo mengi tu, lakini si kila jambo kulianika kama adesi za Tanga & Pwani
Wasiwasi wa mapenzi mwenzangu wauwa..Tanga & Pwani kumekuwaje tena mbona wanipa wasi wasi
Wasituchoshe hao onlyalvira muda si muda watalielewa tu somo la MkuluTanga & Pwani kumekuwaje tena mbona wanipa wasi wasi
Mkulu yupi unayemlengaWasituchoshe hao onlyalvira muda si muda watalielewa tu somo la Mkulu
Wauwa sana hasa ukiupa kipaumbeleWasiwasi wa mapenzi mwenzangu wauwa..
Uliemlenga kwa mawe amepelekwa hospitaliMkulu yupi unayemlenga
Hospitali imekuwa kimbilio kama Msikiti & Kanisa; tuwapongeze sana doktaz wetu kwa kazi nzuri wanayofanya katika kunusuru uhai na maisha ya watu. Mola awapatie nguvu, hekma, na welediUliemlenga kwa mawe amepelekwa hospitali
Weledi wako ndio unaokukwamisha katika pambano hiliHospitali imekuwa kimbilio kama Msikiti & Kanisa; tuwapongeze sana doktaz wetu kwa kazi nzuri wanayofanya katika kunusuru uhai na maisha ya watu. Mola awapatie nguvu, hekma, na weledi
Hili nadhani lingekuwa jambo mujarabu kama ungeliandikia tasnifu andihifu 🙂Weledi wako ndio unaokukwamisha katika pambano hili
Hili nadhani lingekuwa jambo mujarabu kama ungeliandikia tasnifu andihifu 🙂
Umechapia nyumba yako ya makuti kwa siku ngapi?Andihifu bila shaka umechapia
Ngapi ngapi sasahivi game ya Fiorentina vs SpeziaUmechapia nyumba yako makuti kwa siku ngapi?
Spezia bado ni 0:0 HT inakaribia dakika ya 42 sasa.Ngapi ngapi sasahivi game ya Fiorentina vs Spezia
Umeharibu mtiririko soma kichwa cha thread alafu twende sawa.kukomolewa na nani wakati umeyataka mwenyew
sawa kabisa ngoja tusubiri nani ataibuka kidedeaUmeharibu mtiririko soma kichwa cha thread alafu twende sawa.
Kidedea si nyimbo hiisawa kabisa ngoja tusubiri nani ataibuka kidedea
Kidedea anasubiriwa Fiorentina bila shaka kwenye jamvi lako.sawa kabisa ngoja tusubiri nani ataibuka kidedea
Hii ambayo wanasaula watu waone!!Kidedea si nyimbo hii