Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
This thread is alive kwa sababu yako Zamiluni Zamiluni & onlyalviraMe love all members of JF especially this thread..
ShukranThis thread is alive kwa sababu yako Zamiluni Zamiluni & onlyalvira
Shukrani ya punda ni matekeShukran
Watanzania ni wavivu sanaKitu gani kiboreshwe kwenye maisha ya watanzania
Sana hasa kwenye kutafuta hela na kutuma na ya kutoleaWatanzania ni wavivu sana
Shukrani,kuna Thad , ABJ ,T 1990 ELY na weweThis thread is alive kwa sababu yako Zamiluni Zamiluni & onlyalvira
Wewe wangu wadamu Dunia hii ni ndogo
Ndogo sana,tupendane binadamu na tuheshimianeWewe wangu wadamu Dunia hii ni ndogo
Ndogo huliwa na kubwaWewe wangu wadamu Dunia hii ni ndogo
Tuheshimiane kivipi kwani nimekuzaa?Ndogo sana,tupendane binadamu na tuheshimiane
Kubwa lao limefikishwa mahakamaniNdogo huliwa na kubwa
Mahakamani sipapendi hakuna hakiKubwa lao limefikishwa mahakamani
Haki yako ipo ila Ujue namna ya kudai..Mahakamani sipapendi hakuna haki
Huku tunazika tu sijui kwenu vipiHuku kuna wanadamu wanaipenda sana nchi yao hasa huyu onlyalvira & Zamiluni Zamiluni & ABJ & Mtende & Jasmoni Tegga. Halafu huyu cariha siku hizi haonekani hapa. Majukumu sijui?
Kudai pesa sio jambo rahisiHaki yako ipo ila Ujue namna ya kudai..
Hana msambwanda wewe unao?Unazo sifa gani ambazo mwingine hana
Rahisi hubakia kuwa ghali kwa thamani ya bidhaaKudai p
Kudai pesa sio jambo rahisi
Bidhaa za wachinani fekiRahisi hubakia kuwa ghali kwa thamani ya bidhaa
Feki ni kiwango cha chini kbs kununua ni hiyariBidhaa za wachinani feki
Hiyari yako,kunyoa au kusukaFeki ni kiwango cha chini kbs kununua ni hiyari