Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Kusuka Khamba za katani ndani ya meli ni ubaharia...Hiyari yako,kunyoa au kusuka
Ubaharia aliowahi kuufanya Lembebez?Kusuka Khamba za katani ndani ya meli ni ubaharia...
Lembebez,watotoz wazuriUbaharia aliowahi kuufanya Lembebez?
Wazuri?Lembebez,watotoz wazuri
Wazuri ni wengi dunia hii.Wazuri?
Hii kamwe haiwezi kuwa post ya mwishoWazuri ni wengi dunia hii.
Mwisho wangu duniani ajuae ni MunguHii kamwe haiwezi kuwa post ya mwisho
Mungu ni mwema sana tupende kushukuru kwa neema zakeMwisho wangu duniani ajuae ni Mungu
Zake fadhila zimesambaa kwa kila kiumbe.Mungu ni mwema sana tupende kushukuru kwa neema zake
Kiumbe kimoja kimeshikwa na kibri.Zake fadhila zimesambaa kwa kila kiumbe.
Kibri kilimponza FirauniKiumbe kimoja kimeshikwa na kibri.
Firauni alipotoshwa akapotokaKibri kilimponza Firauni
Akapotoka kwa kutoamini anayoelezwaFirauni alipotoshwa akapotoka
aliyoelezwa kwa akili yake akaona anapotoka.Akapotoka kwa kutoamini anayoelezwa
Anapotoka na kukosa maadili mema kama kijana
Kijana fanya kazi acha kutegemea vya bureAnapotoka na kukosa maadili mema kama kijana
Bure vya bure vinamcost sasa hana pakukimbilia.Kijana fanya kazi acha kutegemea vya bure
Pakukimbilia ni kumuomba Mungu na tusisahau kujikinga.Bure vya bure vinamcost sasa hana pakukimbilia.
Kujikinga nafsi kwa maasi ni kutawadha na kubaki na udhu'u!!Pakukimbilia ni kumuomba Mungu na tusisahau kujikinga.
Udhuru wangu leo sijui hadi saa ngapi..Kujikinga nafsi kwa maasi ni kutawadha na kubaki na udhu'u!!