Unataka kujua ikusaidie Nini wakati Mimi ndio mshindii yeraaaa.. Kama Kuna zawadi nipeni toka 2012 tunacheza mshindii amepatikana 2021Nini unataka
2021 Mungu akifanya wepesi nataka nimiliki ndingaUnataka kujua ikusaidie Nini wakati Mimi ndio mshindii yeraaaa.. Kama Kuna zawadi nipeni toka 2012 tunacheza mshindii amepatikana 2021
Ndinga utamiliki kwa uwezo wa Mungu,akufanyie wepesi katika kila jambo lako na akuondolee vikwazo.2021 Mungu akifanya wepesi nataka nimiliki ndinga
vikwazo Ni vingi sana mpka uje ufanikiwe kununua ndinga,Ndinga utamiliki kwa uwezo wa Mungu,akufanyie wepesi katika kila jambo lako na akuondolee vikwazo.
Ndinga kupata siyo big deal ila kuimanage na utunzaji wake ni mgumu !!vikwazo Ni vingi sana mpka uje ufanikiwe kununua ndinga,
Ngumu kama jiweNdinga kupata siyo big deal ila kuimanage na utunzaji wake ni mgumu !!
Jiwe la kuvukia maji Mtoni ni muhimu kuwepo hadi wTZ wote tuvuke ng'ambo ya juu.Ngumu kama jiwe
Juu ya niniJiwe la kuvukia maji Mtoni ni muhimu kuwepo hadi wTZ wote tuvuke ng'ambo ya juu.
Nini kilichokufanya ukatae muamala wangu???Juu ya nini
wangu pia alikataa muamala, sijui wanakwama wapi?Nini kilichokufanya ukatae muamala wangu???
Wapi washindi waje kupokea Zawadiwangu pia alikataa muamala, sijui wanakwama wapi?
Wapi washindi waje kupokea Zawadi
Wapi nizitume law walengwa ?Zawadi hizo tuzifuate wapi?
Walengwa watajengewa nyumbaWapi nizitume law walengwa ?
Nyumba yangu imekwamia lentaWalengwa watajengewa nyumba
Lenta si afadhali, vipi sisi ambao mwaka wa kumi huu tupo kwenye foundationNyumba yangu imekwamia lenta
Foundation imara inababe ghorofa !!Lenta si afadhali, vipi sisi ambao mwaka wa kumi huu tupo kwenye foundation
Ghorofa ama roshen sina uwezo wa kujenga mkuuFoundation imara inababe ghorofa !!
Mkuu usiwe na hofu au kujilaumu hapahaoa tembeza bakuli...Ghorofa ama roshen sina uwezo wa kujenga mkuu
Bakuli la nini tena alitembeze kwenye nchi hii tajiri ya uchumi wa kati?Mkuu usiwe na hofu au kujilaumu hapahaoa tembeza bakuli...