Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Kati yangu na wewe mpendwa nani ana moyo wakumtolea Emiir mchango aweze kujenga?Bakuli la nini tena alitembeze kwenye nchi hii tajiri ya uchumi wa kati?
Kujenga nini tena mkuu?Kati yangu na wewe mpendwa nani ana moyo wakumtolea Emiir mchango aweze kujenga?
Mkuu natembeza bakuli [emoji23][emoji23][emoji23]Kujenga nini tena mkuu?
Bakuli lako kwangu lilikuwa halijafika au wenzangu wamelijaza?Mkuu natembeza bakuli [emoji23][emoji23][emoji23]
Wamelijaza saa ngapiBakuli lako kwangu lilikuwa halijafika au wenzangu wamelijaza?
Ngapi anazo Na mimi nijitolee kuzitembeza izo bakuli, kama yanga,Wamelijaza saa ngapi
Kama yanga sote tutaisapoti ili tuweze kunyakuwa nguzo la ujenzi.Ngapi anazo Na mimi nijitolee kuzitembeza izo bakuli, kama yanga,
Ujenzi wa nyumba ya Emiir utaenda fasta kama bakuli litatembezwa kwa wakatiKama yanga sote tutaisapoti ili tuweze kunyakuwa nguzo la ujenzi.
Watakaokukimbia tutawaacha maana kutoa ni moyo wengine hawanaWakati nikitembeza hapa kuna watu watanikimbia
Hawana kweli kama ambavyo Emiir hanaWatakaokukimbia tutawaacha maana kutoa ni moyo wengine hawana
Msingi wa nyumba yenye vyiumba vitatu haitushindi kukuchangia....bhana!!Hana sababu ya msingi.
Bhana we, uchumi umeyumba sana, mifuko imetobokaMsingi wa nyumba yenye vyiumba vitatu haitushindi kukuchangia....bhana!!
Mifuko imetoboka usijali wee shona viraka ujistiri...Bhana we, uchumi umeyumba sana, mifuko imetoboka
Ujistiri na sie pia tupate kustirikaMifuko imetoboka usijali wee shona viraka ujistiri...
Kustirika kunaanzia na kujistiri mwenyeweUjistiri na sie pia tupate kustirika
Mwenyewe huwezi mpk unaomba msaada sasa itakuwaje?Kustirika kunaanzia na kujistiri mwenyewe
Itakuwaje kama ikiwa mimi ndio mshindiMwenyewe huwezi mpk unaomba msaada sasa itakuwaje?
Mshindi wa huu uzi pendwa ni T 1990 ELYItakuwaje kama ikiwa mimi ndio mshindi