Tanzania ni nchi nzuri sanaKutuliza HOFU isiyo na msingi wowote ni pale Watanzania tunaposikiliza ushauri wa serikali wa kuchapa kazi kwa bidii, kuchukua tahadhari, kumtanguliza Mola na kuwa mstari wa mbele katika kushiriki juhudi za ustawi na maendeleo ya taifa letu zuri la Tanzania
Sana sana wenye nchi wamelitangazia shamba la bibi...Tanzania ni nchi nzuri sana
Bibi yangu alikuwa akinipenda sanaSana sana wenye nchi wamelitangazia shamba la bibi...
Sana tu,sasa kwann ulimkorofisha??Bibi yangu alikuwa akinipenda sana
Ulimkorofisha mwalimu Mkuu ndiyo kisa cha kutemwa !!Sana tu,sasa kwann ulimkorofisha??
Kutemwa wapi wewe,mm haijawah nitokea hyoUlimkorofisha mwalimu Mkuu ndiyo kisa cha kutemwa !!
Hayo ni nadharia yako ila uhalisia tulikuonea Huruma...Kutemwa wapi wewe,mm haijawah nitokea hyo
Huruma hua inaponza wakati mwingineHayo ni nadharia yako ila uhalisia tulikuonea Huruma...
Mwingine sasa ameanza tena kuyakataa mahindi yetu eti kisa amewekewa sumu; nadhani sasa huruma yetu iwe na mipaka isije kutuponza kama taifaHuruma hua inaponza wakati mwingine
Taifa letu lina umojaMwingine sasa ameanza tena kuyakataa mahindi yetu eti kisa amewekewa sumu; nadhani sasa huruma yetu iwe na mipaka isije kutuponza kama taifa
Umoja ni nguvu utengano ni udhaifuTaifa letu lina umoja
Umoja wetu ni nguvu yetu ndo maana tunapeta anga zote !!Taifa letu lina umoja
Udhaifu ktk Uamuzi ni kujiweka Rehani..Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu
Rehani sio nzuriUdhaifu ktk Uamuzi ni kujiweka Rehani..
Nzuri pekupekuRehani sio nzuri
Pekupeku ni nzuri mno hasa ukimwandaa na kuwa na muda wa kutoshaNzuri pekupeku
Kutosha ni subjective...wengine kama kuku dakika mbili zinatosha...wengine bila saa nzima hashukiPekupeku ni nzuri mno hasa ukimwandaa na kuwa na muda wa kutosha
Hashukii,hashukii kiungo imara hukipenyeka penyeka kwa ya nguvu mashutiKutosha ni subjective...wengine kama kuku dakika mbili zinatosha...wengine bila saa nzima hashuki
Mashuti ya niniHashukii,hashukii kiungo imara hukipenyeka penyeka kwa ya nguvu mashuti
nini kimesababisha Al-mereikh kumtimua kochaMashuti ya nini