onlyalvira
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 1,499
- 3,113
Kitamfaa kichwa chake iwapo atakuwa msikivuZaidi ya msaada nini kingine kitamfaa
Lazima niwatembeze Watalii ktk mbuga za wanyama..
Wanyama ni kivutio katika mbuga zetuLazima niwatembeze Watalii ktk mbuga za wanyama..
Zetu hizo kamba usizichukue
Usizichukue maana wanasema zina madharaZetu hizo kamba usizichukue
Madhara ni makubwa kama tusipozingatia ushauri wa kiafya kutoka wizara husika
Husika na kichwa cha habari hapo juuMadhara ni makubwa kama tusipozingatia ushauri wa kiafya kutoka wizara husika
Juu ya nn tena,maana nimechoka kuangaliaHusika na kichwa cha habari hapo juu
Kuangalia masilahi ya familia yako ni wajibu
Ni wajibu wa kila mwananchi kulinda mazingiraKuangalia masilahi ya familia yako ni wajibu
Mazingira masafi yanapaswa kuendelezwa kila nyumba...Ni wajibu wa kila mwananchi kulinda mazingira
Nyumba yangu ndogo ila wapangaji wengiMazingira masafi yanapaswa kuendelezwa kila nyumba...
Kibiriti kikitikiswa huibuwa Cheche.. hatimae Moto huo...
Huo umeme umerudiKibiriti kikitikiswa huibuwa Chechen.. hatimae Moto huo...
Umerudi lini wewe mwanamke nilikumiss sana ujueHuo umeme umerudi
Ujue unaweka tungo tataUmerudi lini wewe mwanamke nilikumiss sana ujue
Tata hata mm nimeshangaa sana,kumbe wewe ni mwanamke[emoji23][emoji23]Ujue unaweka tungo tata
Mwanamke! Mimi ni mwanaume tena shababy MashallahTata hata mm nimeshangaa sana,kumbe wewe ni mwanamke[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app