Wa mwisho ndiyo mshindi

Rais wetu hajulikani alipo hadi leo
Leo ndio nimeamini kweli biashara matangazo,maana nimefanikiwa kuuza Microwave Oven zaidi ya kumi kwa kuzitangaza Jamii Forums....Asanteni sana wadau wote na karibuni tena.
 
Leo ndio nimeamini kweli biashara matangazo,maana nimefanikiwa kuuza Microwave Oven zaidi ya kumi kwa kuzitangaza Jamii Forums....Asanteni sana wadau wote na karibuni tena.
Tena nakushauri uitangaze sana hiyo biashara
 
Biashara hiyo ya macro oven inafaida Sana,kwani watu wengi huitaji kwalengo la kupashia chakula kwa haraka,hususani kwa wauza chakula.
Chakula ni kitu muhimu kwa mwili wa binadamu, kama ilivyo fuel kwenye magari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…