dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Nachi pole nadhani ulitaka kuandika nchiMungu ni muumba wa mbingu na nachi
Dakika chache kutoka sasa...Umenizunguka kwa Sababu ya ulafi wako na ombaomba peas kila dakika...
Nchi ni mali ya wananchiNachi pole nadhani ulitaka kuandika nchi
Sasa unataka kusema niniDakika chache kutoka sasa...
Nini maana ya kelele zinazoendelea.Sasa unataka kusema nini
Zinazoendelea hapa nchiniNini maana ya kelele zinazoendelea.
Nchini kwetu rais ni mwanamkeZinazoendelea hapa nchini
Mwanamke anaongoza wanaume watabaki walimaniNchini kwetu rais ni mwanamke
Mwanamke akiwezeshwa anaweza...Nchini kwetu rais ni mwanamke
Anaweza kufanya mambo makubwa ya kuushangaza ulimwengu.Mwanamke akiwezeshwa anaweza...
Ulimwengu tulio nao ni...Anaweza kufanya mambo makubwa ya kuushangaza ulimwengu.
Ni vigumu kuamini maneno ya mnaojificha mitandaoni...Ulimwengu tulio nao ni...
Mitandaoni mimi huwa napaita dunia ya nneNi vigumu kuamini maneno ya mnaojificha mitandaoni...
Ni nini maana ya nchi huru?Ulimwengu tulio nao ni...
Huru? Kujiamulia mambo yake bila kubughudhiwa na mabeberuNi nini maana ya nchi huru?
Nne ni namba ya bahatiMitandaoni mimi huwa napaita dunia ya nne
Mabeberu huu siyo wakati wa kuwajadili...tujenge kwetu kwanzaHuru? Kujiamulia mambo yake bila kubughudhiwa na mabeberu
Bahati na sibu ni mchezo hatari sana kuuchezaNne ni namba ya bahati
Kwanza tunajenganje wakati hata dawa tunawategemea?Mabeberu huu siyo wakati wa kuwajadili...tujenge kwetu kwanza
Kuucheza unaweza filisikaBahati na sibu ni mchezo hatari sana kuucheza