T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Filisika tujue tabia yakoKuucheza ubaweza filisika
Yako tena ndio mbovuFilisika tujue tabia yako
Kwenda umbali mrefu bado changamoto
Changamoto gani ya kujibu swali langu na kujua wewe ni jinsia gani?Kwenda umbali mrefu bado changamoto
Gani? Me na ke zote ni jinsia zanguChangamoto gani ya kujibu swali langu na kujua wewe ni jinsia gani?
Zangu ni mia sita zilizobaki ni za dereva wa taxiGani? Me na ke zote ni jinsia zangu
Taxi sikuhizi zinamezwa na ubberZangu ni mia sita zilizobaki ni za dereva wa taxi
Uber nayo italiwa na Bolt bila kutarajia ..Taxi sikuhizi zinamezwa na ubber
Kutarajia maajabu jiunge na JFUber nayo italiwa na Bolt bila kutarajia ..
JF (JiFunze) bila kwenda shule Mmmh simajanga kweli???Kutarajia maajabu jiunge na JF
Kweli? I think there is more to learnJF (JiFunze) bila kwenda shule Mmmh simajanga kweli???
Learn or learner?Kweli? I think there is more to learn
Learner? Is person who is learning about a particular subject or skillLearn or learner?
Kweli? I think there is more to learn
Skill zako bi Mzuri zimekufikisha madarakani??Learner? Is person who is learning about a particular subject or skill
Madalakani ndo nimekaa mm sasa mulete uzembe natumbua mtuSkill zako bi Mzuri zimekufikisha madarakani??
Mtu yoyote adhinie na mwanamke hana akiliMadalakani ndo nimekaa mm sasa mulete uzembe natumbua mtu
Akili nyingi huchafua na kuharibu maarifaMtu yoyote adihinie na mwanamke hana akili
Maarifa ya jamiiAkili nyingi huchafua na kuharibu maarifa
Jamii siyoamini katiika uwezo wa mwanamkeMaarifa ya jamii