B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,357
- 4,390
Mabeberu yanatusaidia sanaaBarakoa zina virusi vya mabeberu
Sokoni kuna biashara za aina waweza Pata au kupotezaNyingi zinasikika sokoni
Kupoteza kwenye harakati za kutafuta ndivyo ilivyo.Sokoni kuna biashara za aina waweza Pata au kupoteza
Sana kwa mambo mengiMabeberu yanatusaidia sanaa
Mengi ni hayati kwa sasaSana kwa mambo mengi
Mengi ni marehem alishakufa mnamtakia nini wabongo?Sana kwa mambo mengi
Wabongo akina Abrianna hamna dogo!!Mengi ni marehem alishakufa mnamtakia nini wabongo?
Sisi tukivitumia vitatutokea puaniVimeundwa ili tuvitumie sisi
Puani labda kwako sio mimiSisi hata tukipewa vitatutokea puani
Mimi na wewe tutafute vya kwetuPuani labda kwako sio mimi
Vya kwetu havina viwango bora wala vifungashio..Mimi na wewe tutafute vya kwetu
Baharini wapo wazamiaji mahodari wa kuipigia mbizi chini hadi kuokoa...Pm imefungwa na password imetupwa baharini
Kuokoa ni kazi ya JeshiBaharini wapo wazamiaji mahodari wa kuipigia mbizi chini hadi kuokoa...
Jeshi la nyuki halizuiliki kiurahisi. .Kuokoa ni kazi ya Jeshi
Kirahisi sasa tunashuhudia maendeleo makubwa ya nchi yetu kuelekea kwenye uchumi wa viwanda, maendeleo ya watu na vitu na ustawi wa mtu mmojamoja kwenye taifa letuJeshi la nyuki halizuiliki kiurahisi. .