Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Jambo jema haliozi watakao nufaika ni wajukuu...wahasimu haha! nawapongeza kwa kufata utaratibu mzuri ni jambo jema
wajukuu ni zao lako la kesho endapo ukiharibu Leo yako utavuna mabuaJambo jema haliozi watakao nufaika ni wajukuu...
Mabua utayavuna iwapo utacheka na nyaniwajukuu ni zao lako la kesho endapo ukiharibu Leo yako utavuna mabua
"Nyani haoni kundulee" kitendawili cha zama Kweli
Kweli kabisa sipingani na ww"Nyani haoni kundulee" kitendawili cha zama Kweli
Uzi huu kuna vikongwe, viajuza na vibabu walo kula chumvi...Wewe cabo Huonekani kwenye uzi
Chumvi imepanda beiUzi huu kuna vikongwe, viajuza na vibabu walo kula chumvi...
Bei juu siyo issue tatizo ni watumiaji !!Chumvi imepanda bei
Tofauti yako Abrianna na namba wa JF ni tabasamuWatumiaji wana mambo mengi na matumizi tofauti
Tabasamu huongeza siku za kuishiTofauti yako Abrianna na namba wa JF ni tabasamu
Kuishi uishi wewe sisi acha tufe kwa kihoro..Tabasamu huongeza siku za kuishi
Wema mwingi hadi unaleta sintofahamu na kujiuliza What is behind this..?Kiroho safi ni utu wema
All who received him he gave powerThis is not a smart move at all
Powe to chase the demons and pray for the sickAll who received him he gave power
Jamii forum ni mtandao namba moja Tanzania"Uzi" Ni neno maarufu Sana hapa Jamiiforums