Tanzania Ni nchi yenye Kila aina ya RasilimaliJamii forum ni mtandao namba moja Tanzania
Rasilimali zinaliwa na wachacheTanzania Ni nchi yenye Kila aina ya Rasilimali
Powe to chase the demons and pray for the sick
Sick and surely you will quote me this proverb physician cure yourselfPowe to chase the demons and pray for the sick
Wachache hao watatapika nyongo kwa uharamia na dhulma waliyo tutendea wanyonge na wawekezaji!!Rasilimali zinaliwa na wachache
Yourself yes you can do it all aloneSick and surely you will quote me this proverb physician cure yourself
Wawekezaji wanahitaji mazingira rafikiWachache hao watatapika nyongo kwa uharamia na dhulma waliyo tutendea wanyonge na wawekezaji!!
Rafiki bora ni yule atakuwa nawe kwenye shida na raha wakat woteWawekezaji wanahitaji mazingira rafiki
Wote wanafikiRafiki bora ni yule atakuwa nawe kwenye shida na raha wakat wote
Rafiki yangu wee ivo sisi wTZ tunajua uswahiba ??Wawekezaji wanahitaji mazingira rafiki
Uswahiba haufai eneo la kaziRafiki yangu wee ivo sisi wTZ tunajua uswahiba ??
Kazi bila incentives na ujira stahiki ni mkono kinywani !!Uswahiba haufai eneo la kazi
Kinywani kuna pita vitu vingi juu ya ulimiKazi bila incentives na ujira stahiki ni mkono kinywani !!
Ulimi wa nyoka hurusha sumu !!Kinywani kuna pita vitu vingi juu ya ulimi
Maziwa ya mitindi ni Bora kuliko maziwa fresh
Fresh tu ,mzima wewe tulipoteana sanaMaziwa ya mitindi ni Bora kuliko maziwa fresh
Tulipoteana sana kwa sbb bando na GB zilipandishwa bei na makampuni
Makampuni yamesababisha kibarua cha mtu kiote nyasiTulipoteana sana kwa sbb bando na GB zilipandishwa bei na makampuni
Nyasi nilishawahi kusikia sana kwenye huu msemo, na kuna ule msemo mwingine huwa wanasema kibarua kimeota mabawa/mbawaMakampuni yamesababisha kibarua cha mtu kiote nyasi