Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Uzeeni kunatafakuri za maisha yalivyopita yakujuta na ya kufurahia..Njema huonekana uzeeni
Kufurahia maisha ni muhimu kuwa sehemu ya maisha tunayoishi kila siku, majuto ni mjukuuUzeeni kunatafakuri za maisha yalivyopita yakujuta na ya kufurahia..
Mjukuu mtukutu amevunja baiskeli ya babuKufurahia maisha ni muhimu kuwa sehemu ya maisha tunayoishi kila siku, majuto ni mjukuu
Babu SEYA kesi yake inaendeleaje? au alishaachiwa huru?
Huru yupo sasa,anayafurahia maisha yake wa amaniBabu SEYA kesi yake inaendeleaje? au alishaachiwa huru?
Amani ni Jina la Baba mwenye nyumba wangu mnamtaka nini jamani..?
Jamani natamani nimnyakuwe mtu humu
Mkuu mueleze huyoHumu wote washanyakuliwa mkuu
Huyo mtaje tumjueMkuu mueleze huyo
Tumjue aliye nyakuwa fursa hiyo adhimu nasi tubahatike...Huyo mtaje tumjue
Akipatikana na mimi nishawishikeTumjue aliye nyakuwa fursa hiyo adhimu nasi tubahatike...
Ushawishike huoni unatafuta ugonviAkipatikana na mimi nishawishike
Ugomvi wake na mimi utaisha nitapo muoa huyo dadaUshawishike huoni unatafuta ugonvi
Dada kaolewa hapo ndo patamuUgomvi wake na mimi utaisha nitapo muoa huyo dada
Patamu ni pale nitapo vunja ndoa yaoDada kaolewa hapo ndo patamu
Yao ndoa ni imara, utavunjika wewePatamu ni pale nitapo vunja ndoa yao
Wewe hautaweza kunishawishiYao ndoa ni imara, utavunjika wewe
Kunishawishi ni rahisi kama ukijua nachotakaWewe hautaweza kunishawishi
Nachotaka niwe na mke tuuKunishawishi ni rahisi kama ukijua nachotaka