Umasikini ni janga la TaifaKazi ndio njia sahihi ya kujikwamua na kuondokana na umasikini
Taifa lenye umma kama wetu wa Tanzania kamwe pasiwe na umasikini wala ujinga !!Umasikini ni janga la Taifa
Ujinga ni mzigoTaifa lenye umma kama wetu wa Tanzania kamwe pasiwe na umasikini wala ujinga !!
Mzigo nitakaokupa naomba uufikishe salama nyumbani
Wengi wanasema ni pa kisasa
Kisasa kina wagharimu vijana wengiWengi wanasema ni pa kisasa
Wengi jf ni makapuku [emoji38][emoji38]Kisasa kina wagharimu vijana wengi
Makapuku ni uzi unaokwenda kasi sana hapa JFWengi jf ni makapuku [emoji38][emoji38]
JF ina adhimisha miaka mingapi kwa sasa?Makapuku ni uzi unaokwenda kasi sana hapa JF
Sasa mimi sikumbukiJF ina adhimisha miaka mingapi kwa sasa?
Sikumbuki yaliyopita kwani uzee unani nyemeleaSasa mimi sikumbuki
Unaninyemelea uzee lakin aisee ntaukumbuka ujanaSikumbuki yaliyopita kwani uzee unani nyemelea
Ujana umejaa nuksi kwa sbb kila kukicha kuna lawama..Unaninyemelea uzee lakin aisee ntaukumbuka ujana
Lawama haziish dunian had mbinguniUjana umejaa nuksi kwa sbb kila kukicha kuna lawama..
Mbinguni kuna Malaika wa MunguLawama haziish dunian had mbinguni
Mungu mjuzi na mweza na hutoa cheo,madaraka na nguvu ila usibweteke kwani kunyakuwa vyote hivyo bila taarifa.Mbinguni kuna Malaika wa Mungu
Taatifa ya habari ya leo imenogaMungu mjuzi na mweza na hutoa cheo,madaraka na nguvu ila usibweteke kwani kunyakuwa vyote hivyo bila taarifa.
Imenoga mdundiko usiku wa leo huku mitaaniTaatifa ya habari ya leo imenoga
Mitaani kuna hali ngumuImenoga mdundiko usiku wa leo huku mitaani