Mkalimani wa Bibi
JF-Expert Member
- Sep 6, 2017
- 801
- 3,143
Leo ni siku ya furaha kwa simbaKileleni Yanga anashushwa leo
Simba ana jambo lake msimu huuLeo ni siku ya furaha kwa simba
Simba ana jambo lake msimu huu
Huu msimu ubingwa unabaki msimbazi
Kumenoga nogiiii!Msimbazi kumenoga
Nogi noga jangwani kimyaaKumenoga nogiiii!
Kimya chao wala hakina mshindoNogi noga jangwani kimyaa
Mshindo wa mwanaume mmoja ni sawa na kuzunguka kiwanja cha mpira mara tatuKimya chao wala hakina mshindo
Mzuka wa kimbunga jobo umepoaTatu mzuka.
Umepoa basi Wazalamo wamefanya yaoMzuka wa kimbunga jobo umepoa
Yao masumango yanaweza kupoteza maisha ya mtuUmepoa basi Wazalamo wamefanya yao
Mtu mwenyew ukimuona wala hutoaminiYao masumango yanaweza kupoteza maisha ya mtu
Hutoamoni mwa sababu ni kafupiMtu mwenyew ukimuona wala hutoamini
Kafupi Kama sanamu za maoneshoHutoamoni mwa sababu ni kafupi
Maonyesho ya sabasaba yamekaribiaKafupi Kama sanamu za maonesho
Yamekaribia tujionee sijui viongozi wetu watasema nini?...siku hiyoMaonyesho ya sabasaba yamekaribia
Yamekaribia kunishinda nabwagana nayoMaonyesho ya sabasaba yamekaribia
Nayo yamemsumbua kama mtoto mdogo,mlale unono[emoji42][emoji42]Yamekaribia kunishinda nabwagana nayo
Mlale unono ili mkiamka tuendeleze libenekeNayo yamemsumbua kama mtoto mdogo,mlale unono[emoji42][emoji42]