Libeneke lilipamba moto usiku wa janaMlale unono ili mkiamka tuendeleze libeneke
Jana ilikuwa ni siku ambayo imetuacha na funzoLibeneke lilipamba moto usiku wa jana
Funzo nililolipata kutokana na lile tukio ni upendo, binadamu tupendaneJana ilikuwa ni siku ambayo imetuacha na funzo
Tupendane kwa hali zetu tulizonazo bila kubaguanaFunzo nililolipata kutokana na lile tukio ni upendo, binadamu tupendane
Kubaguana sio kitendo cha kiungwana kabisa, Mungu hapendiTupendane kwa hali zetu tulizonazo bila kubaguana
Hapendi kwa sababu binadamu wote ni sawaKubaguana sio kitendo cha kiungwana kabisa, Mungu hapendi
sawa ila sio ktk usawa maana bado kuna matabakaHapendi kwa sababu binadamu wote ni sawa
Matabaka hayatufai kwasababu sisi ni kitu kimojasawa ila sio ktk usawa maana bado kuna matabaka
Kimojawapo kati ya alivovitaja bimkubwa, kipi kimekufurahisha?Matabaka hayatufai kwasababu sisi ni kitu kimoja
Kimekufurahisha wewe kipi kwanza kati ya alivyovitaja Bimkubwa?Kimojawapo kati ya alivovitaja bimkubwa, kipi kimekufurahisha?
Bimkubwa aliimeza hotuba yote kichwaniKimekufurahisha wewe kipi kwanza kati ya alivyovitaja Bimkubwa?
Kichwani haiwezekani, kuna mahali alikua anasomaBimkubwa aliimeza hotuba yote kichwani
Anasomaje wakati hakuwa na karatasi yoyoteKichwani haiwezekani, kuna mahali alikua anasoma
Yoyote yule aje twende kanisaniAnasomaje wakati hakuwa na karatasi yoyote
Kanisani kwenu hakuna Ibada ya jionYoyote yule aje twende kanisani
Jioni tunaenda kuangalia mpiraKanisani kwenu hakuna Ibada ya jion
Mpira unauvutika? ama unazungumzia mpira upiJioni tunaenda kuangalia mpira
Upi huo, mimi sijawah kuutia machoniMpira unauvutika? ama unazungumzia mpira upi
Machoni kitu gani utiwaUpi huo, mimi sijawah kuutia machoni
Utiwa chumvi na pilipili ndio iwe na ladhaMachoni kitu gani utiwa