Killeville
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 410
- 1,218
Mshahara wake ukipunguzwa ndipo atatia akili.Nyingine ilikuwepo ni kumpunguzia mshahara wake
Akili yake ndogo anaweza kujiua tafadhar msamehe ajirekebisheMshahara wake ukipunguzwa ndipo atatia akili.
Ajirekebishe kwa tabia yakeAkili yake ndogo anaweza kujiua tafadhar msamehe ajirekebishe
Yake mbona nzuri tu ndugu yanguAjirekebishe kwa tabia yake
Ndugu yangu,hawa jamaa usipokuwa makini nao,basi havitaacha kukuandama visa vyao kila uchao.Yake mbona nzuri tu ndugu yangu
Yangu ilee tabia ya nidhamu ya secondary cheti chake hakijanisaidia kwa lolote mtaaniYake mbona nzuri tu ndugu yangu
Mtaani kuna fursa nyingi leo nimegundua hiliYangu ilee tabia ya nidhamu ya secondary cheti chake hakijanisaidia kwa lolote mtaani
Hili utaliona kama huko mwepesi wa kuchangamkia fursaMtaani kuna fursa nyingi leo nimegundua hili
Fursa nyingi zimetangazwa, vijana tuchangamkeHili utaliona kama huko mwepesi wa kuchangamkia fursa
Tuchangamke, tusibweteke wakati ndio huuFursa nyingi zimetangazwa, vijana tuchangamke
Tuchangamke wakati mda wote tunawaza mademu tu 😂😂😂aiiisee kazi ipo kwa vijana wa Leo ni changamoto kweliFursa nyingi zimetangazwa, vijana tuchangamke
Kweli ila ukipigika ndio utajuaTuchangamke wakati mda wote tunawaza mademu tu 😂😂😂aiiisee kazi ipo kwa vijana wa Leo ni changamoto kweli
Huu ni wakati wa kupumzika na kula maishaTuchangamke, tusibweteke wakati ndio huu
Utajua kuwa hujui lakini hujui kama hujuiKweli ila ukipigika ndio utajua
Hujui nini sasa, ujasikia kimbunga kimepitaUtajua kuwa hujui lakini hujui kama hujui
Kimepita salamaHujui nini sasa, ujasikia kimbunga kimepita
Salama kwa uwezo wa Mungu watanzania tuna neema sana
Salama wakati watu wamepigwa pesa ety nipe nauli niende kwa bibi huku kuna kimbunga jobo
Jobo mwenyewe kajobolewa na wabongoSalama wakati watu wamepigwa pesa ety nipe nauli niende kwa bibi huku kuna kimbunga jobo