Wabongo sio wa kuwaaminiJobo mwenyewe kajobolewa na wabongo
Kuwaamini wabongo ni sawa na kujipalia kaa LA moto
Moto wa kupikia kuni ni mkali kuliko wa gesiKuwaamini wabongo ni sawa na kujipalia kaa LA moto
Usiozimika ni wa makaa ya mawe
Gesi imeishia kutuletea masaibu MtwaraMoto wa kupikia kuni ni mkali kuliko wa gesi
Mawe gani tena hayazimiki jamaniUsiozimika ni wa makaa ya mawe
Jamani tulikubaliana kuwa mama tunampa mitano tenaMawe gani tena hayazimiki jamani
Tena huyu mama hio mitano lazima ajikwapulie chakeJamani tulikubaliana kuwa mama tunampa mitano tena
Chake chake pemba ni sehemu nitakayoenda kipindi najiandaa na fungateTena huyu mama hio mitano lazima ajikwapulie chake
Fungate LA nini wakati mzigo ushaupiga vya kutoshaChake chake pemba ni sehemu nitakayoenda kipindi najiandaa na fungate
Fungate sijui inafanywajeChake chake pemba ni sehemu nitakayoenda kipindi najiandaa na fungate
Kweli ana haki ya kuuliza afahamishweInafanywaje aah mwifwa wewe wa kuuliza hili swali kweli
Kweli kabisa sijapita hapa siku nyingiInafanywaje aah mwifwa wewe wa kuuliza hili swali kweli
Siku nyingi zilizopita,uzi huu ulianzishwa.Kweli kabisa sijapita hapa siku nyingi
Ulianzishwa mfuko wa maafaa lakn wanajilipa wenyeweSiku nyingi zilizopita,uzi huu ulianzishwa.
Wenyewe hamhoji bora wale waoUlianzishwa mfuko wa maafaa lakn wanajilipa wenyewe
Wao wana pesa sisi tuna madarakaWenyewe hamhoji bora wale wao
Madaraka ukiyapata kimasihara yatendee hakiWao wana pesa sisi tuna madaraka
Haki ni msingi wa maendeleo na huleta mafanikioMadaraka ukiyapata kimasihara yatendee haki