Bungeni wamebaki kurushiana vijembe hakuana hojaMjadala upelekwe bungeni
Mississippi inachanganya sana katika kuiandikaHoja ya msingi ni kujituma kama mtumwa Mississippi
Kuandika barua ni changamoto sikuhiziMississippi inachanganya sana katika kuiandika
Sikuhizi barua hazina thamani kama zamaniKuandika barua ni changamoto sikuhizi
Na nini mbona ujamaliziaZamani za kale Pali kuwa na
Hujamaliza kuelezea stori yakoNa nini mbona ujamalizia
Yako umeiweka wapi kwani, mbona nimeitafuta sijaionaHujamaliza kuelezea stori yako
Sijaiona nimetafuta kila mahaliYako umeiweka wapi kwani, mbona nimeitafuta sijaiona
Sijaiona nimetafuta kila mahali
tukusaidieje wakati kesi yako ngumuMahalia wapi na wapi umeshatafuta ili na sisi tukusaidie
Ngumu mithiri ya chuma cha puatukusaidieje wakati kesi yako ngumu
Kunusa vitu ovyo utaambulia kichefuchefuPua kazi yake kunusa
Kichefuchefu ni dalili za mwanzo za ujauzitoKunusa vitu ovyo utaambulia kichefuchefu
Ujauzito ukikomaa,mtoto huzaliwa.Kichefuchefu ni dalili za mwanzo za ujauzito
Huzaliwa vipi bila uchungu alaf huyu Ubena ZomoziUjauzito ukikomaa,mtoto huzaliwa.
Huzaliwa vipi bila uchungu alaf huyu Ubena Zomozi
Simjui lakini namuonaga akikatiza Uzi huuUbena zomozi ndio nani tenambona mimi simjui