Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Kuuacha nje kunasaidia kuwavutia wanawakeatautumia na kuuacha
Wanawake raundi hii wanadai wanataka kufanya comebackKuuacha nje kunasaidia kuwavutia wanawake
Nalog off
comeback ya dakika 90Wanawake raundi hii wanadai wanataka kufanya comeback
Dk 90 ndio zinaamua matokeo ya mchezocomeback ya dakika 90
Mchezo wenyewe mbayaaaa!
Mbayaaa kwa sababu haujaelewaMchezo wenyewe mbayaaaa!
Haujauelewa ndio maana unashindwa kuumuduMbayaaa kwa sababu haujaelewa
Kuumudu mwili ni ngumuHaujauelewa ndio maana unashindwa kuumudu
Ngumu ndani, nje lainiKuumudu mwili ni ngumu
Ngumu ndani, nje laini
Matunzo mazuri yanahitaji pesaLaini ngozi inahitaji matunzo
Pesa huwafanya wema kuwa waovuMatunzo mazuri yanahitaji pesa
Waovu ni kutokana na tabia zao, Pesa inasingiziwa mengiPesa huwafanya wema kuwa waovu
Mengi yameongelewa, kilichobaki ni utekelezajiWaovu ni kutokana na tabia zao, Pesa inasingiziwa mengi
Utekelezaji umeshindikana hakuna helaMengi yameongelewa, kilichobaki ni utekelezaji
Hela zenyewe wamejitwalia wachacheUtekelezaji umeshindikana hakuna hela
Wachache wanakula mema ya nchiHela zenyewe wamejitwalia wachache
Nchi ina wenyewe hii wengine tu wasindikizajiWachache wanakula mema ya nchi
wasindikizaji wa maharusi wamependezaNchi ina wenyewe hii wengine tu wasindikizaji