Wamependeza kuliko maharusi wenyewe!wasindikizaji wa maharusi wamependeza
wenyewe hawana habariWamependeza kuliko maharusi wenyewe!
Habari wataipata baada ya tukiowenyewe hawana habari
Tukio lenyewe linatishaHabari wataipata baada ya tukio
Linatisha zaidi ya jinamiziTukio lenyewe linatisha
Jinamizi la mwendazake linawatesaLinatisha zaidi ya jinamizi
Linawatesa Jiji la Dar es Salaam ikinyesha mvuaJinamizi la mwendazake linawatesa
Mvua zinaleta baraka wengine husemaLinawatesa Jiji la Dar es Salaam ikinyesha mvua
Niambie nipe siri wanakupendea nini waremboHusema nini pale handsome wao nikipita karibu na kwao em niambie
Warembo wa kitangaa ooh wanajua kujipamba ooh duuh kumbe nimekoseaNiambie nipe siri wanakupendea nini warembo
Nimekosea sana kutowajua mapemaWarembo wa kitangaa ooh wanajua kujipamba ooh duuh kumbe nimekosea
Mapema mwishoni mwa mwaka huu nitafunga ndoaNimekosea sana kutowajua mapema
Mapema mwishoni mwa mwaka huu nitafunga ndoa
Ndo tamu hakuna mfanoMapema mwishoni mwa mwaka huu nitafunga ndoa
Mfano utauonja baada kufuga pinguNdo tamu hakuna mfano
Pingu za maisha ndizo mnaongelea?Mfano utauonja baada kufuga pingu
Mnaongelea nini bado sijaelewaPingu za maisha ndizo mnaongelea?
Sijaelewa alikua na maana gani kuikataa pete nilotaka kumvisha leoMnaongelea nini bado sijaelewa
Leo mvua imenyesha mji mzimaSijaelewa alikua na maana gani kuikataa pete nilotaka kumvisha leo