Umependeza kwanini
Kwanini umekwenda kwa bibi bila kuagaUmependeza kwanini
Kuaga ni jambo la busaraKwanini umekwenda kwa bibi bila kuaga
Busara ni kitu adimu kupatikana
Kupatikana kwa sukari kumekua tatizoBusara ni kitu adimu kupatikana
Tatizo lako ni fursa kwa wengineKupatikana kwa sukari kumekua tatizo
Tatizo kila reply unaijibuKupatikana kwa sukari kumekua tatizo
Unaijibu ili Uzi usonge mbeleTatizo kila reply unaijibu
Mbele ya nyumba kuna myi mzuriUnaijibu ili Uzi usonge mbele
Mzuri kwako, kwa wengine ni wa kawaida sanaMbele ya nyumba kuna myi mzuri
sana km ukiwa umepigaMzuri kwako, kwa wengine ni wa kawaida sana
Umepiga mswaki kweli leo?sana km ukiwa umepiga
Leo ndio leo, asemae kesho ni muongoUmepiga mswaki kweli leo?
Muongo sana yule jamaa, wala usimuaminiLeo ndio leo, asemae kesho ni muongo
Usimuamini hata kidogoMuongo sana yule jamaa, wala usimuamini
Kidogo naanza kuelewa alichokua anamaanishaUsimuamini hata kidogo
Anamaanisha iwapo atapewa muda wa kutosha mtakuja kumuelewa zaidiKidogo naanza kuelewa alichokua anamaanisha
Kumuelewa zaidi inabidi uwe naye karibuAnamaanisha iwapo atapewa muda wa kutosha mtakuja kumuelewa zaidi
Karibu sana, jisikie upo nyumbani