Diss Meddy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 590
- 1,291
Yalikithiri sana ndo chanzo cha kuchukiwaYake maouvu yalikithiri
Kuchukiwa hadi kuombewa kifoYalikithiri sana ndo chanzo cha kuchukiwa
Kifo kimetoa hukumu ya haki zetuKuchukiwa hadi kuombewa kifo
Zetu sala Mungu amezijibuKifo kimetoa hukumu ya haki zetu
Amezijibu kwa wakati sahihiZetu sala Mungu amezijibu
Sahihi tusichoke kumwombaAmezijibu kwa wakati sahihi
Kumwomba kila tukipata nafasiSahihi tusichoke kumwomba
Nafasi za uongozi zawafaa wenyw busaraKumwomba kila tukipata nafasi
Busara itumike katika maamuziNafasi za uongozi zawafaa wenyw busara
Maamuzi ya TFF hayakuwa ya busaraBusara itumike katika maamuzi
Busara inatakiwa kutatua changamoto za mpira wa miguuMaamuzi ya TFF hayakuwa ya busara
Miguu yangu ni mirefuBusara inatakiwa kutatua changamoto za mpira wa miguu
Mirefu miti huleta mvuaMiguu yangu ni mirefu
Nalog off
Mvua za masika zinazingua sana kwa kweliMirefu miti huleta mvua
mvua ikiwa nyingi inaleta uharibifu wa miundombinuMirefu miti huleta mvua
Miundombinu ya Tz ni ya ovyomvua ikiwa nyingi inaleta uharibifu wa miundombinu
Miundombinu endelevu inahitajikamvua ikiwa nyingi inaleta uharibifu wa miundombinu
Ovyo kama haji manaraMiundombinu ya Tz ni ya ovyo
Nalog off
Haji Manara tarehe 15/5 atakuwa jijini JohannesburgOvyo kama haji manara
Johannesburg wataenda kupata kichapo heavy, ni utabiriHaji Manara tarehe 15/5 atakuwa jijini Johannesburg
Nalog off