Wake wapinzani wameteseka miaka mitanoUchu wa madaraka ulimponza fudenge (fulani) mpaka akawa anaua wapinzani Wake
Nalog off
Mitano tena tumpe SamiaWake wapinzani wameteseka miaka mitano
Mitano kwa maisha ya mwanadamu ni mingi sanaWake wapinzani wameteseka miaka mitano
Mitano ni michache labda ishiriniWake wapinzani wameteseka miaka mitano
Ishirini hapo nakubaliana na weweMitano ni michache labda ishirini
Wewe nae ulikua wapiIshirini hapo nakubaliana na wewe
Wapi Pana biriani tamu leo?
Wapi naweza pata changudoa maeneo ya sinza?
Sinza changudoa!mbona hiyo ni aina ya SamakiWapi naweza pata changudoa maeneo ya sinza?
Nalog off
Samaki ni watamu kuliko nyamaSinza changudoa!mbona hiyo ni aina ya Samaki
Tamuu ni ladha inayo endeleza hamuNyama ya kuku ni tramuuu
Hamu inaletwa na umahiri wa muhusikaTamuu ni ladha inayo endeleza hamu
Muhusika mwezio kama wewe kesha Salimu amri yupo hatiani...Hamu inaletwa na umahiri wa muhusika
Hatiani kuna hukumuMuhusika mwezio kama wewe kesha Salimu amri yupo hatiani...
Hukumu hutolewa na Hakimu baada ya haki kutamalakiHatiani kuna hukumu
Kitamalaki kwa haki ni maendeleo kwa TaifaHukumu hutolewa na Hakimu baada ya haki kutamalaki
Taifa linapitia kipindi kigumu sanaKitamalaki kwa haki ni maendeleo kwa Taifa
Sana au nyingi ukijumlisha inakuwa lukuki !!Taifa linapitia kipindi kigumu sana
lukuki kwa fujooo.....ila sasa walau tunaona mabadiliko, kuna kuheshimiana kunaanza.Sana au nyingi ukijumlisha inakuwa lukuki !!