Nywele za wapi unaongelea?Upo kila mahali kama nywele
Naongelea kuhusu mnyama kupindua meza keshoNywele za wapi unaongelea?
Kesho nije na ticketi mbili?Naongelea kuhusu mnyama kupindua meza kesho
Mbili hazitoshi au unaenda peke yako...Kesho nije na ticketi mbili?
Peke yako vipi Mie nafuatana na MO pale VIP !!Mbili hazitoshi au unaenda peke yako...
VIP mana yake wanasema ndio vaa ibane nini vile?Peke yako vipi Mie nafuatana na MO pale VIP !!
Vile vile tuoneane haya ni aibu humu kuna watoto!!VIP mana yake wanasema ndio vaa ibane nini vile?
Watoto hawaruhusiwi humu, wacha wakueVile vile tuoneane haya ni aibu humu kuna watoto!!
Wakue waje kutilea... Ok usiku mwingine huku Good night ndg. SuriWatoto hawaruhusiwi humu, wacha wakue
Suri kisha chemsha amelala FofofoWakue waje kutilea... Ok usiku mwingine huku Good night ndg. Suri
Fofofo ndo ule usingizi wa porno?Suri kisha chemsha amelala Fofofo
Porno hapana, ni usingizi wa pono, wanasema ukila huyo samaki wa kuitwa pono unasinzia kila wakatiFofofo ndo ule usingizi wa porno?
Wakati mwengine naamua kuchekaPorno hapana, ni usingizi wa pono, wanasema ukila huyo samaki wa kuitwa pono unasinzia kila wakati
Kucheka sisi waswahili tunaamini kunaongeza urefu wa MaishaWakati mwengine naamua kucheka
Nalog off
Maisha haya bila mwenza ni kupingana na muumbaKucheka sisi waswahili tunaamini kunaongeza urefu wa Maisha
Muumba hatutoweza kupingana nae hata siku moja, pumzi tu inatudanganyaMaisha haya bila mwenza ni kupingana na muumba
Nalog off
Inatudangaya kwa sababu ya ubishiMuumba hatutoweza kupingana nae hata siku moja, pumzi tu inatudanganya
Wakue na walelewe kimaadili na milaWatoto hawaruhusiwi humu, wacha wakue
Mila za kijinga zilikuwepo kwa waarabuWakue na walelewe kimaadili na mila
Waarabu hahaha.. ndiyo waliyoleta lugha ya kiswahili na Ustaarabu ktk bara la Afrika !!Mila za kijinga zilikuwepo kwa waarabu